Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Du kweli elimu sio maendeleo yaani hawa jamaa watani zangu Inshomile wanavyojidai huku Bongo basi mm nikadhami kamji kao katakuwa Amazing? Anyway mtoa mada naomba ubadishe heading iwe Bukoba vs Musoma lkn kuwalinganisha na Moshi ni kuwapandisha chart watoto wamjini wanasema kuwapa kiki!
 
Mi nashangaa sana sasa hvyo vipicha picha vya kuta za nyumba ndo kuthibitisha kupo vizuri au? Kila mtu kajionea hakuna haja yakutuma picha we fanya kautafiti kadogo mchukue mjanja wa Moshi uje mlingamishe na mjanja wa bukoba utapata majibu kuanzia mavazi na kila kitu baaaasi
 
Picha mnazirudia rudia. Kisa moshi ndongo cheki bk
db579c7ca4cdb4dfa0c7477ff7a847d4.jpg
39902c1fab16cf25b7cb1d34eacee286.jpg
ef37415dfe51258375b64218c3571d9f.jpg
7e3da2cb2ccd82d17e4c5d788f099e42.jpg
0ce9f28654cc762dfc4a70a1f4e18013.jpg
86aa560a0487de8bcecc2eca60484d78.jpg
63444c49b996925a5134517054a24091.jpg
ead3c5e5a7478b9c139c2a7c3943ac97.jpg
6f10915bec8fca3276609606ab823368.jpg
5a37d2696013f10572b78a9d4a3b450b.jpg
5c6243206689da883e18040761e01c32.jpg
aeb3c9814fa755d099e71d6101b59294.jpg
f66d8984be5088720669c223af11008b.jpg
d6cb504519a661111be0e214b18c0505.jpg
senene
e332dbdd5c2b14637e80a7ffe8195258.jpg
b43207a8f078c4c89b8111fd686a5f10.jpg
https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/9dfba230813d9acc482e5f[ATTACH=full]451371[/ATTACH]

[QUOTE="salaniatz, post: 19060666, member: 245901"][IMG]https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2a790c5464b8251cd26e627df38570e1.jpg
9eb30d30395ca0ab291449dac66f09a9.jpg
db0aefdf87364c1e636f1f25217f4bfb.jpg
[/QUOTE]
 

Attachments

  • uwanja-wa-kaitaba-Google-Search-3.jpg
    uwanja-wa-kaitaba-Google-Search-3.jpg
    90.6 KB · Views: 21
Hii ni bukoba
48e868fc2322c4a3f3764be2941ea394.jpg
a83be3ff9137dc76346744963b60ab7d.jpg
59335ef1c3efe51ff117f900fba114b2.jpg
cf4c36be9c16cb1ae1e032ed7b4d5176.jpg
fe6cff6c6a8e41b2893c9aae2b57d3dc.jpg
6d74ba710065476e0d2181ca4acacc99.jpg
d384a652fb67880b3b09b123cdb68bf2.jpg
c88f4ac8d5a784f4c00b136dbb914d34.jpg
ae19dc4db83e35eed2f12652a345a981.jpg
e626b9ceea4f9fd401153df41093b08a.jpg
kaitaba stadium
ba0fd3990cd51d3dc0ec720e1b14ad89.jpg
mjini kati
aa6b81fe51c9a513e6deced791e7ec06.jpg
bukoba rc cathedral
481f4f2f2b480d2e15f1d7b34419ca29.jpg
miembeni bukoba
2bacc7c68b6a2396d6737328f65f93f8.jpg
kuelekea ziwani kwa mbali msira island
51d10e5fc59d1ef1791b983b4a5be221.jpg
view from kashura
Mi naona bukoba
Umelinganisha nn sasa hapo. Umepanga picha za mji mmoja tu halafu unaconclude!!! Ndio facts hizo ulizotakiwa kutoa? Ovyo kabisa....
 
Shida watu wanaidharau bk
Istanbul kuna sehemu Dar inaitwa kwa Wahaya mwananyamala unakuta vibatari na ukifika tu mwanaume unachoma ndani kuhudumiwa ila sijaona kwa wachaga hivi!! Kwa wachagga Kimara na Mbezi ni full ufugaji wa kuku na biashara za kawaida
 
Kuna picha zingine za Bukoba zaidi ya hizo!
Jamaa wa Moshi hawana haja ya kuleta picha,kwa maana Moshi ni zaidi ya Bukoba kwa mbali.
 
Acheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?

Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
Thread ni ya bk vs moshi ukiangalia mkoa kagera ni Mara mbili ya Kilimanjaro.na watu ni wengi.una biharamulo,ngara,karagwe.kyelwa misenyi muleba na sehemu izo si bk na wahaya sio Wa huko
 
Kimsingi Moshi imegalagazwa na Bukoba, hilo liko wazi. Moshi ni ndefu imefuata barabara tu kiurefu haiko kimpangilio kama huo wa Bukoba, uzuri nimefika Moshi ila sijafika Bukoba, ila kwa picha hizo alizoweka mdau, bukoba pako vizuri,na sababu iko wazi, wachaga wengi waliofanikiwa kimaisha wamejenga wilayani na vijijini kwao, hivyo kwa hali ya wilaya au vijiji vya Moshi ni vizuri kuliko vijiji vingi vya Tanzania. Wangejenga sana mjini Moshi basi hata Arusha ingezidiwa.
Bado hawakubali bkb iache tu
 
Haahha ila mkuu umenichekesha sana, Kibeta kuna nini? Na Nkindo si ipo BK vijijini...hata ingekuwa mjini kuna nini pale?
Nkindo kuna sauti,kashura kuna kolping,walkguarg,stalla,perfect nk
 
Nilichokiana hapa ni mleta mada kuwahadaa watu kupicha hasaa kwa jengo mojamoja lkn sio view nzima kwa ujumla.. To be honest nimetembea miji yote miwili tuache kudanganya fikra zetu zetu bukoba bado sana kwa moshi...japo hme green city
47c0dd8d537b89fc3a4589084829fe5a.jpg
jengo mojamoja ndo hutengeneza mji
5059c0840acabea0e4d18791a466b85c.jpg
afc1e42246db198019e33d422c48f029.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom