Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
... Watalii wanapokwenda kupanda mlima kilimanjaro wanatokea wapi kwa wingi. Hata wabeba mabegi ya watalii wengi wanatoka arusha. Kifupi utalii wa kanda ya kaskazini unaifaidisha arusha si moshi. Leo hii ukienda moshi mahoteli ni ya zamani na hayana wateja ilhali arusha wanajenga mapya na wanapata wateja.

Hilo la wapagazi kuwa wengi kutokea Arusha unadanganya. Kuna utaratibu wameweka wengi ni wa Kili tena huko vjjn.

Kuhusu hoteli za Msh kweli zimedoda flani. Sisi wa chugga ndo tunaendaga kupigia mikasi huko. Wa Msh hawana jeuri kuja kula bata chugga. Ni shidaaaaa
 
Miundo mbinu Moshi iko bomba zaidi

Shule nyingi nzuri Zipo moshi kwani hata wakazi wa Dar huwapeleka Kilimanjaro watoto wengi kusoma

Kambi za jeshi Kaskazini hata sehemu za maarufu ya mafunzo ya polisi

-Usafi Moshi wako vizuri hata takwimu zinajieleza wazi

- Sehemu nzuri za starehe zipo nyingi Moshi hasa vijijini km Machame, Marangu
Machame na marangu sio mji wa Moshi
 
Kubwa ubinafsi wa wachaga hapo nimewaelewa,
Hakuna mji duniani ulioendelea kwa wazawa pekee so wachaga badilikeni uzieni ardhi wageni na mushirikiane nao mji utakua sana mkiwa hamtaki kubadilika hata Mtwara itawapita kimaendeleo maana watu wa kusini wanasifa ya kuwakarimu wageni
Ikiwa hawauzi walizonunua huko kwingine ndo wauze za Moshi? Utasubiri sana. Hata uwatukane hadi mwisho ila mijamaa haitabadilika asee
 
Ni zaidi ya sifa. Ningekua meenyeji wa Msh mjini ningejitanabaisha kwa takwimu kama yule alieleta za TRA japo kaweka za mkoa.

Maana wa bk walishajipanga kufanya suprise attack ya picha baada ya kukusanya na kuedit. Sasa wa Msh wanaendeleza ujinga kucheza mziki wanaopiga bk. No way wakashinda.The Art of War ingewasaidia hapa.

Nawashauri wakuje na hard facts kwa categories ndo vita itaanza kurudi level. Kwa sasa wamekamatwa mapumbu wanaanza kutafuta tupicha walitosevu ila wako doomed kufeli wakiendeleza picha.
Fikiria hadi sasa hakuna alieweka za shamty town ikimaanisha wamepigwa na bumbuwazi hao wa Moshi.
Et editing fika bk wewe ujionee
 
Kwa vigezo vyako utakuwa unashinganisha makabila na si mji au manispaa.

Sidhani kama kuna manispaa inalima kahawa kama ulivyotaja
Mkuu nimetaja vigezo vingi. Wakiamua kufuata hiyo njia wataamua vigezo mahsusi.

Hata hivyo, kuna kiwanda cha kubangua au kukaanga kahawa moshi mjn. MCCCL. Pia kuna coffee shops na pia mnada wa kahawa Tz nadhani upo moshi mjini.

Hayo yote ni kuhusu kahawa. Twende sasa....
 
Bukoba kuna tanica ya kahawa nadhani kila MTU anakifahamu
939c5604389f7fc3658b3005ab7d8f17.jpg
chenyewe hiki hapa
 
Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.
Uko sahihi sana mkuu. Nadhani wewe siyo mchaga au kama ni mchaga basi umetembea miji mingi. Ulinganishaji wako umekaa sahihi sana tofauti na meku wengine ambao huwa wana exaggerate sana linapokuja suala la mji wa Moshi.
 
Ni zaidi ya sifa. Ningekua meenyeji wa Msh mjini ningejitanabaisha kwa takwimu kama yule alieleta za TRA japo kaweka za mkoa.

Maana wa bk walishajipanga kufanya suprise attack ya picha baada ya kukusanya na kuedit. Sasa wa Msh wanaendeleza ujinga kucheza mziki wanaopiga bk. No way wakashinda.The Art of War ingewasaidia hapa.

Nawashauri wakuje na hard facts kwa categories ndo vita itaanza kurudi level. Kwa sasa wamekamatwa mapumbu wanaanza kutafuta tupicha walitosevu ila wako doomed kufeli wakiendeleza picha.
Fikiria hadi sasa hakuna alieweka za shamty town ikimaanisha wamepigwa na bumbuwazi hao wa Moshi.
Wamepagawa hadi mwanza wakaita moshi
 
Uko sahihi sana mkuu. Nadhani wewe siyo mchaga au kama ni mchaga basi umetembea miji mingi. Ulinganishaji wako umekaa sahihi sana tofauti na meku wengine ambao huwa wana exaggerate sana linapokuja suala la mji wa Moshi.
Shida hana facts atupe sababu bk inaizidi mbali sana km za eneo zikiwa 90 na moshi 58 kwa nini tusilinganishe bk inaizidi moshi wewe kubali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom