Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Majengo ya serikali ni ya wale wahindi waliopo migeyo umefika miembeni wewe,kashura kibeta,rwamishenye,jamhuri road,kashozi road, hamugembe je nshambya mafumbo, kahororo,ihungo jee bk haufahamu kumbe kufika stend ya bukoba ni kama nyegezi na mwanza bk hauifahamu hizi hotel za serikali?
a0a14a11a196194e5556926d8c3d50f7.jpg
c6742d9222c9456d7bea5d7bbca6684e.jpg
368b8a3df6de96e6562a8ebb357a1745.jpg
2b954cf4f63b2601e8747aee6f3c6a18.jpg
3661abc3da29eb540d08eb5df9807565.jpg
958c0bec8df6a11f66dfec0ee867757e.jpg
c19f50f12c5355bd6c2e306b6acfbd84.jpg
e9114b48ae884b1e94a2d7119d43e368.jpg
90e5688c3a97ed715e94dfe13a030a9d.jpg
5970e4c91d76a126a94e17e2bab21e9d.jpg
c4a1c466549ea48fff60c8d369f83178.jpg
68853d8dd9cf71b0dd973f79becd98c3.jpg
b22e0d30220b1b605707ee6c7ec1e899.jpg
tembea uone bkb kwanza majengo hayo mengi ya zamani yalitetemeshwa sasa hivi yanajengwq mapya so ya serikali-gallery/0a6e11f12dc249274197e0cfd4f92762.jpg[/IMG]
7272b781739623d95ff6a44529d220fa.jpg
Hivi Bukoba kuna hata supermarket?
 
Acheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?

Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
Tuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:

Shose sinare
Nancy Sumari
Theresa Shayo
Shose Sinare
Hoyce Temu -dada wa shoka
 
inabidi pia uangalie na utamaduni wa eneo husika. kule hawana utamadunu wa kula kwenye mabarabara. watu wanapenda zaidi kula chakula kilichoandaliwa nyumbani. ni aibu mtu kula kwa hotel. kwa hiyo biashara ya hotel kwa ujumla kule si nzuri

Afadhali umenena Ukweli ,nimekaa pale town one week Na ndo nlipojifunzia kula chips,huku chini miembeni kuna sehemu inaitwa coffee karibia Na bukoba club ,it's the only expensive place to sleep Na pa kula ingawa vya kula navyo Adimu Sana
 
Mkuu nimekaa Bukoba, sijawahi kuona jamii za kibaguzi kama Kagera. Usifananishe hayo makabila ya Kaskazini na Kabila la Kagera. Kuna ubaguzi mkubwa kama kuuza bidhaa kulingana na lafudhi ama kuongea kilugha mpaka stendi ya mkoani? Vipi kuhusu kusengenya wengine kilugha hata mnapokuwa wawili tu wa kabila hilo? Walahu Wachagga,Wamasai na Wameru wanaheshimu watu wengine wasio wa kabila lao na kuzungumza Kiswahili, labda itokee hawajui kiswahili.
Hizo tuhuma hata nyie mnazo.. Tena mpaka nyie kwa nyie... Mnabaguana.
 
Huu ni UDHARIRISHAJI ,
Moshi mjini ni mji wa 3 AFRICA kwa usafi ,
Pia unavutia , Unaifukuzia ARUSHA kimiundo mbinu, huwezi kufananisha na BUKOBA,
Ni sawa na kumfananisha MOND na MAN FONGO.
 
Tuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:

Shose sinare
Nancy Sumari
Theresa Shayo
Shose Sinare
Hoyce Temu -dada wa shoka
Walimbwende cheki Wa bk Angela kairuki,malaika,lulu Michael,madam Rita,
 
Yaani moshi hamna kitu zaidi ya jengo moja tu hilo la blue, alafu kusema vijijini moshi pako vizuri mbona bk safi tu. Anyway wachagga acheni sifa za kijinga mdogo wangu yuko moshi analia na joto kali huko
Niambie jengu hambalo limewekwa picha na halipo moshi

Inabidi uwe umefika Moshi na Bukoba ndio uweze kuchangia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom