Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,721
- 6,592
Kulingana na picha zilizowekwa hapa BK wako vizuri,watu wa moshi badala ya kuweka picha hapa wanaleta maneno tupu na picha za miji mingine
Hawana lolote achana nao misifa tu!!!!Picha ya kanisa sio Moshi. Ni kibosho huko
Kwa lipi kama ni kwa matusi hapo sawaAmbafu Bukoba kwa Moshi Bure kabisa.
Bukoba kama Moshi wengi wao walikuwa wana invest vijijini na siyo mijini....Kwahiyo Moshi kama ilivyo Bukoba miji yao haina wawekezaji wamaana....Ni miaka ya karibuni wameanza kuwekeza mjini.....Ni muhimu wa wazawa kuanza kuwekeza kwenye miji yao ili kuongeza wigo wa uwekezaji na kuongeza ajira maeneo ya vijijini...Hii miji miwili ya makabila yaliyosoma lakini full kichakani. PEKE YAO WANYAKYUSA NDO WAJANJA.
Kimtazamo wangu ni kuwa bukoba ingekuwa mbali sana tena zaidi ya Moshi tatizo wenyeji hampendi kurudi kwenu kama wachaga ambapo wanaporudi husaidia mzunguko wa pesa hata kwa muda mfupi pia wanapata fursa ya kuuona mji wao na changamoto zake
Pia Moshi imepakana na Arusha ambapo pia Arusha ni jiji na huwezi enda Arusha bila kupita Moshi kutokea Dar, so husaidia mzunguko wa pesa katika mji wa Moshi wakati Mlima Kilimanjaro huwabeba sana wanamoshi
But remember in development kuna concept of mutual development ambapo jirani yako anapopiga hatua probably na wewe unaweza kuendelea kutokana na ukaribu wenu... Namaanisha ukaribu wa Arusha na Moshi na changamoto kubwa maendeleo ya ukanda huu
So bk kama mmejitenga fulani hivi ni miji mingine mikubwa na hamna kivutio kikuu cha kidunia watalii wengi wakaja kwenu
Nilitaka kusahau kuwa pia Moshi wanabebwa na KIA
All in all Miji yote inapiga hatua
Niliwai kufika bukoba pia moshi nisawa na kulinganisha manzese na posta moshi pazuri licha ya Uzuri wake pia ni moja mji msafi sana bukoba pachafu baathi ya sehemu lami hamna kiukweli bado sana izo picha zimepigwa kwajuu tu ila chini hatari
Du kweli elimu sio maendeleo yaani hawa jamaa watani zangu Inshomile wanavyojidai huku Bongo basi mm nikadhami kamji kao katakuwa Amazing? Anyway mtoa mada naomba ubadishe heading iwe Bukoba vs Musoma lkn kuwalinganisha na Moshi ni kuwapandisha chart watoto wamjini wanasema kuwapa kiki!
Watu wanaangalia maslahi, nijenge majumba kisa ni kwe ?, hiyo hasara ataifidia nani?Kimtazamo wangu ni kuwa bukoba ingekuwa mbali sana tena zaidi ya Moshi tatizo wenyeji hampendi kurudi kwenu kama wachaga ambapo wanaporudi husaidia mzunguko wa pesa hata kwa muda mfupi pia wanapata fursa ya kuuona mji wao na changamoto zake
Pia Moshi imepakana na Arusha ambapo pia Arusha ni jiji na huwezi enda Arusha bila kupita Moshi kutokea Dar, so husaidia mzunguko wa pesa katika mji wa Moshi wakati Mlima Kilimanjaro huwabeba sana wanamoshi
But remember in development kuna concept of mutual development ambapo jirani yako anapopiga hatua probably na wewe unaweza kuendelea kutokana na ukaribu wenu... Namaanisha ukaribu wa Arusha na Moshi ni changamoto kubwa maendeleo ya ukanda huu
So bk kama mmejitenga fulani hivi na miji mingine mikubwa na hamna kivutio kikuu cha kidunia watalii wengi wakaja kwenu
Nilitaka kusahau kuwa pia Moshi wanabebwa na KIA
All in all Miji yote inapiga hatua
Kuzikwa pekee haitoshi kwani hamurudi nyote mngetafuta wiki maalum ya wanabk tukaona msafara mrefuuu kama wachaga na ikawa kama tamaduni kwa watanzania wengine kuwa wahaya hao au wanabk haooo wanaenda kwaoNadhani huwafahamu wana Bukoba...hao kusahau kwao siyo rahisi kihivyo ukitaka kuelewa angalia misiba yao hao jamaa...hawazikwi mijini wengi wao huko kwao tena vijijini.....
Mji wa Moshi una zaidi ya wachaggawaache tuu waanzishe, washambulie ina kuna Uwazi kabisaa... wakubali wasikubali WACHAGA WAPO JUU na ndio maana kila utani unaohusu pesa Wanaongelea wachaga.....Chezea mchaga na kutafuta tangu enzi za ukoloni....
Weka za mijiAcheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?
Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
Kuna mabasi mangapi yanaondoka stemdi kuu mjini asbh kwenda kokote?Bk ni mbali we we unafikiri kuna umbali saw a na moshi na dar.lakini bk haitegemei sana dar inategemea sana Kampala km 250 kutoka bk,na mwanza km 250 ,ndo maana kuna mabasi mengi ya mwz to bk.ndege za mwz to bk,ndo maana tunaitaji meli,kipindi cha zamani tulikuwa na meli ,5 kati ya mwz,Kampala na bk mv bk,Victoria, kishimba,serengeti ,na mpina hivyo bukoba na dar havitegemeani sana kwanza nauli elfu 60000 so bora ukanunue kiwanja bk ukajenga nyumba milimani.