Sikia tu mkuu, nimekaa huko mji mdogo kiasi kwamba unazidiwa na KahamaKumbe mji wa Bukoba haulingani hata na (mji) kata ya Makambako,miji ya Njombe,Makete na Ludewa.
Wahaya na sifa zote kumbe hakuna kitu.
Basi itakuwa chumbani kwakohuu haupo moshi![]()
Basi itakuwa chumbani kwakohuu haupo moshi![]()
Hiyo ni moshi mkuu, inaonekana huijui vizuri moshi.Hahahaaa naona picha za Iringa na mwanza WEWE unasema katikati ya mosho
Yote ni Tanzania...hizi ligi za kikanda kila siku, zimezidi sasa..na always inakuwa ni Moshi/Arusha vs Somewhere else, kisha makabila yanaanza kushambuliwa...huu ni upuuzi

Bukoba the worst place I've ever seen,sehemu ya kula Hamna ,mjini katikati majengo yote au by 90 percent Ni ya serikali.
Bk huwezi linganisha na Moshi wewe..Moshi pako juu sana kwakuwa watu wa moshi wanapapenda sana kwao kiliko watu wa bk na wamepajenga vyema kuliko bk .alafu mzunguko wa pesa huko juu sana .bk mpaka wasubiri senene msimu wake na kipindi cha uvuvi ndo utaona pesa
Mkuu mipasho ya nini sasa? Niambie kodi huko TRA wanakusanya ngapiUmeshangaa eti ooh ndo bukoba hiyo mwenye wivu ajinyonge baba half rudia saida aliwaimbia
Umeshangaa eti ooh ndo bukoba hiyo mwenye wivu ajinyonge baba half rudia saida aliwaimbia
Wala hawatakuelewaMimi sio mwenyeji wa mikoa yote miwili, ila nimeishi katika miji yote miwili kwa muda tu wa kutosha mjini na vijijini. Moshi ni mji mzuri na mkubwa kulinganisha na Bukoba. Hata idadi ya watu Bukoba inazidiwa na Moshi na sababu kubwa ni upande wa usafiri, hakuna ruti zozote za daladala katika mji wa Bukoba. Kila unapokwenda lazima upande Bodaboda labda kama unaenda wilayani.
Bukoba mzunguko wa hela ni mdogo sana kulinganisha na Moshi.
Kwa upande wa miundombinu Moshi wapo juu sana.
Kwa mandhari, Bukoba yaweza kuvutia kwa sababu ya Ziwa na vilima kuwa vingi.
Kuna mdau alielezea kuhusu majengo mazuri yapo zaidi katika wilaya za Kagera kuliko Bukoba mjini. Kama huamini hivyo nenda Karagwe(Kayanga mji) na eneo la Bunazi (Missenyi) watu wanapajenga sana.
Kwa mpangilio wa mji bado Moshi inaizidi Bukoba.
Moshi ni mji mdogo kwa eneo lakini ni mzuri na msafi.
Hata kwa idadi ya vyuo vikuu vyenye kuheshimika vipo Moshi;KCMCo,Mwenge,Ushirika nk.
Ina maana moshi ni ya wachaga tuu bkb kuna wanyarwanda,waganda, na wahaya hivyo sio mji Wa kabila fulaniwaache tuu waanzishe, washambulie ina kuna Uwazi kabisaa... wakubali wasikubali WACHAGA WAPO JUU na ndio maana kila utani unaohusu pesa Wanaongelea wachaga.....Chezea mchaga na kutafuta tangu enzi za ukoloni....