Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Baba usihangaike kumshawish mtu bukoba huwez ifananisha na Moshi ikiwa ushafka hzo sehemu,moshi pako vizur mara nyingi zaid ya Bukoba km hutaki shauli yako endeleen kujifariji maana nyie kila kitu kujisismfia,ila kumbuka Moshi ni manispaa na bukoba bado halmaahaur ya Mji wapi na wapi,japo mm cyo wa moshi wala bukoba lkn bukoba big Noo kwa Moshi
Bukoba ilitangazwa manispaa 1999 kumbe hauifahamu bukoba wewe na picha bado tena hii ni baada ya tetemek
 
Yaani moshi hamna kitu zaidi ya jengo moja tu hilo la blue, alafu kusema vijijini moshi pako vizuri mbona bk safi tu. Anyway wachagga acheni sifa za kijinga mdogo wangu yuko moshi analia na joto kali huko
 
Bukoba tena
853d1e805da00cc4a45c38458f85dab4.jpg
1bf7cf39f5403145072a2bfd12f95c84.jpg
19e1fd5eb87d6a063b3b763f83402e5a.jpg
70fa5cc61b881f6cb49439004187aeea.jpg
94d4f3baf579ee8c7d358c0b9cf9ce91.jpg
195bade4a115117f68460e2f58196165.jpg
b67314e9ac181491382c0f15fa973162.jpg
463bf90fc9e52d967a256337bc3fc626.jpg
dfcb90b5362596755971a5e8434299cd.jpg
6926d08dbc2d0a04f3294636e840007f.jpg
6eb95840460549a9e4ef1c5933343a1d.jpg
2e4613f909394b489887372307c49fa3.jpg
bb3f60c0f99ed95657bd648d69af6b38.jpg
bk hamuiwezi
Kodi mnakusanya ngapi kwanza? Kilimanjaro kwa mwaka ni zaidi ya Billion 140
 
Hahaha...!!!

Badala ufananishe Moshi na Mwanza eti unafananisha na Bukoba?

Umenichekesha sana kumbe moshi ndo wakwanza kujisifu HF mnawasingizia wahaya moshi na mwz wapi na wap
 
Yaani unafananisha halmashauri ya mji na manispaa, wapi a wapi ndugu, hivi walioipa moshi hadhi ya manispaa unafikiri ni wajinga.
Kumbe huifahamu bukoba ilikuwa manispaa zamani
 
Tuliza kitenesi mama, nshomile anataka ligi ya majengo na uzuri baada ya kugundua tayari wachaga wameshwapiga bao kwenye elimu
Elimu wee shule ilyoongoza kitaifa la saba na form four elfu 2016 ni ya wapi nshomile bado ipo urithi
 
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Hahaha...!!!

Badala ufananishe Moshi na Mwanza eti unafananisha na Bukoba?



Moshi nahisi kunafanana na Mbeya si Bukoba
 
Ina maana moshi inaizidi Dom Moro na iringa kama sikosei kahama wanawazidi
Mkuu hivi umeshaitembelea hiyo miji kwanza? Moshi IPO juu mkuu nawameshaomba kupandishwa hadhi ya jiji ambapo kikwazo kilikua ni ukubwa wa eneo tu na ilo wameshalifanyia kazi wamebaki kutangazwa tu.
 
Tuliza kitenesi mama, nshomile anataka ligi ya majengo na uzuri baada ya kugundua tayari wachaga wameshwapiga bao kwenye elimu
na huyu je si Wa bukoba achana na nshomile wewe
 
Niliwai kufika bukoba pia moshi nisawa na kulinganisha manzese na posta moshi pazuri licha ya Uzuri wake pia ni moja mji msafi sana bukoba pachafu baathi ya sehemu lami hamna kiukweli bado sana izo picha zimepigwa kwajuu tu ila chini hatari
 
Niliwai kufika bukoba pia moshi nisawa na kulinganisha manzese na posta moshi pazuri licha ya Uzuri wake pia ni moja mji msafi sana bukoba pachafu baathi ya sehemu lami hamna kiukweli bado sana izo picha zimepigwa kwajuu tu ila chini hatari
Ulifika lini bk wewe uijui vizur
 
Moshi padogo pasafi bukoba pakubwa sio pasafi Sana ila ukienda bukoba muleba missenyi na karagwe uko ndo watu wanajenga kwa jeuri
 
Kuna amani Hanna matukio ya uhalifu pia watu wa kule wakarimu sana sio wabaguzi kama unavyoonagaga jamii za wamasai, wameru na wachaga kdg kule arusha
Mkuu nimekaa Bukoba, sijawahi kuona jamii za kibaguzi kama Kagera. Usifananishe hayo makabila ya Kaskazini na Kabila la Kagera. Kuna ubaguzi mkubwa kama kuuza bidhaa kulingana na lafudhi ama kuongea kilugha mpaka stendi ya mkoani? Vipi kuhusu kusengenya wengine kilugha hata mnapokuwa wawili tu wa kabila hilo? Walahu Wachagga,Wamasai na Wameru wanaheshimu watu wengine wasio wa kabila lao na kuzungumza Kiswahili, labda itokee hawajui kiswahili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom