Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Tatizo la kina Nshomile ni kujisifu bwanaa...

Angalia tuu hata usafiri wa kwenda kwao wameshindwa kununua mabasi mazuri japo sasa njia ipo nzuri MH. Magufuli kawajengea barabara kupitia chato nzuriii......ILA angalia mabasi ya KILIMANJARO NA ARUSHA halafu chunguza mabasi yanamilikiwa na kina nani....kama hukukuta mabasi mengi ni majina yale yalee ya wenyewe...

Wahaya kwa kujisufu...hata kama hana gari atakuambia amepaki benz mlangoni...sijui kwanini...

Sisi tunaamini hata usipopiga kelele kuhusu mafanikio yako yatajionesha yenyewe...acha mafanikio yapige kelele sio wewe upige kelele....

Biashara nyingi angalia waliozishikilia ni kina nani....

Celebrities wa kihaya ni kina nani...?

Ila bila kutafuta sana....kuna kina
1. Nancy Sumari - Arusha
2. Saida Kessy
3. Hoyce Temu
4. Theresa Shayo
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture310-world-1967-group.jpg
kichuguu-albums-miss-tanzania-picture311-tanzania67.jpg




@ instanbul polee
Bk ni mbali we we unafikiri kuna umbali saw a na moshi na dar.lakini bk haitegemei sana dar inategemea sana Kampala km 250 kutoka bk,na mwanza km 250 ,ndo maana kuna mabasi mengi ya mwz to bk.ndege za mwz to bk,ndo maana tunaitaji meli,kipindi cha zamani tulikuwa na meli ,5 kati ya mwz,Kampala na bk mv bk,Victoria, kishimba,serengeti ,na mpina hivyo bukoba na dar havitegemeani sana kwanza nauli elfu 60000 so bora ukanunue kiwanja bk ukajenga nyumba milimani.
 
Moshi mji wa kitalii ila bado aisee, wanajipa misifa mingi tu. Kwa upande wa mapato ni kwa sababu ya mlima kilimanjaro unaingiza pesa nyingi za kigeni vinginevyo hamna jipya, let's be realistic!!!!!
 
Kimsingi Moshi imegalagazwa na Bukoba, hilo liko wazi. Moshi ni ndefu imefuata barabara tu kiurefu haiko kimpangilio kama huo wa Bukoba, uzuri nimefika Moshi ila sijafika Bukoba, ila kwa picha hizo alizoweka mdau, bukoba pako vizuri,na sababu iko wazi, wachaga wengi waliofanikiwa kimaisha wamejenga wilayani na vijijini kwao, hivyo kwa hali ya wilaya au vijiji vya Moshi ni vizuri kuliko vijiji vingi vya Tanzania. Wangejenga sana mjini Moshi basi hata Arusha ingezidiwa.
Unafikiri wahaya hawajajenga vijijini ingekuwaje wote wangejenga bk, bk kuna wanyarwanda wengi na waganda,ndo maana IPO hivyo shida bk watu wanapasikia tu.
 
Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!
Picha mkuu
 
Kwa wanaoangalia quantity kama maendeleo basi Moshi iko juu lakini kwa wale wa quality kama njia ya maisha Bukoba iko juu. Alafu hapa kuna Mlima Kilimajaro ambao ni natural gift na pia Bukoba ina Ziwa Victoria na hali ya hewa isiyoweza kulinganishwa na popote maana sio baridi wala joto mwaka mzima.
Natabiri huu mjadala utakuwa mrefu na utafunua siri nyingi za Bukoba zilizokuwa hazijulikana hapo kabla maana BK aka 'blessed kingdom' is just a sleeping giant na siku ikiamka wakatengeneza mitaa na barabara, sijui!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom