Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Kia sio Moshi. Kuwa consistentBukoba Airport Vs Kilimanjaro AirportView attachment 451317View attachment 451318View attachment 451319View attachment 451320View attachment 451321
Kia sio Moshi. Kuwa consistentBukoba Airport Vs Kilimanjaro AirportView attachment 451317View attachment 451318View attachment 451319View attachment 451320View attachment 451321
Picha nzuri ila ya zamani sn
UkubwaUkubwa up yaan wakieneo au wakimaendeleo?Ebu kua specifickwan mkuu Moshi na Morogoro wapi ni pakubwa??
Sihitaji kuchangia sana ila hapo kwenye geti la kupandia mlima na moshi (marangu) mkuu hilo haliitaji uwe na degree kujua that's kilimanjaro national's park marangu entrancePicha zenye tarehe sio Moshi. Pia hayo mageti na camp za kupandia mlima sio Moshi
Kwa sura ya mabasi isvyoakisi uhalisia hata hiyo stendi haitakua ilivyo pichani. Btw, endelwa kuweka vilivyopo. So far mko vzr kwenye picha. Mlijipanga kuanza huu ushindani.Mkuu inajengwa mpya sasa hivi mtaa Wa kyakairabwa km 10 kutoka mjini mchoro huu hapa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ujenzi tayari umeanza![]()
Nimependa hii picha. Natamani background ingekua mandhari Moshi so unapata 2 in 1.
Mjanja wa bk Rugemalila jamesMi nashangaa sana sasa hvyo vipicha picha vya kuta za nyumba ndo kuthibitisha kupo vizuri au? Kila mtu kajionea hakuna haja yakutuma picha we fanya kautafiti kadogo mchukue mjanja wa Moshi uje mlingamishe na mjanja wa bukoba utapata majibu kuanzia mavazi na kila kitu baaaasi
Kumbe we uliyepost hujui chochote hujui kuwa bukoba ni manispaa au ni alimashauli ya mji kwanza kabisa tambua bukoba iliitangulia moshi kuwa manispaa ndo uanze kupostBaba usihangaike kumshawish mtu bukoba huwez ifananisha na Moshi ikiwa ushafka hzo sehemu,moshi pako vizur mara nyingi zaid ya Bukoba km hutaki shauli yako endeleen kujifariji maana nyie kila kitu kujisismfia,ila kumbuka Moshi ni manispaa na bukoba bado halmaahaur ya Mji wapi na wapi,japo mm cyo wa moshi wala bukoba lkn bukoba big Noo kwa Moshi
Kwa vigezo vyako utakuwa unashinganisha makabila na si mji au manispaa.Huu uzi ungekua na maana kama kungewekwa vigezo.
Mfano vya kijamii. Idadi ya wasomi, idadi ya matajiri, idadi ya watu, idadi ya NGOs, kambi za wakimbizi, jinsi jamii inavyojiratibu, ushahidi wa uwepo wa mila kandamizi au imani mbovu km mauaji ya albino na vikongwe, nk
Elimu. Idadi ya shule na vyuo level zote. Ufaulu kitaifa miaka walau mi5 nyuma.
Hadhi ya mji (jiji manispaa halmashauri etc. land area, vivutio vya utalii (moshi kili bukoba victoria), idadi ya watalii nk
Siasa. Nani mtawala, wana umoja, idadi ya wabunge, wametoa mawaziri rais (tunaangalia mji na sio kabila. Mfn Magu angekua wa Bk tyr gepu hilo), n.k.
Miundombinu. Kilometa za barabara za lami, huduma zinazofanya kazi za usafiri wa umma na viwango vyake (mabasi treni meli ndege na pia idadi zake kwa ratiba), idadi ya magorofa ya gorofa 4 5 6 7 8 9 10 n.k, usafi wa mji, urefu wa mitaro, urefu na ujazo wa mifumo ya majitaka, barabara zisizo za lami n.k.
Uchumi. Wote wana ndizi na kahawa na uvuvi kwahyo hapo ushindani ni kiwango cha uzalishaji mauzo na mapato kwa hizo shughuli na zinginezo pia walizozidiana. GDP, contribution ya kodi kwa taifa, idadi ya magari ya serikali na binafsi, trading na shopping centre,
Maadamu ni mijini inafaa kushindanisha maeneo ya sterehe na kujiliwaza (baa beach zilizoendelezwa cinema nyamachoma joints bustani za mijini hoteli na idadi ya vitanda4 swimming pools kumbi za disko pombe za kienyeji na ma maeneo rasmi ya kunywea ikiwamo ustaarabu wake na hapa picha zinahusika sn nk), idadi ya watumiaji wa simu na smartphones,
Uwezo pia uangalie huduma za kifedha mabenki na taasisi za fedha, mzunguko wa pesa,
Usalama na ulinzi. Idadi ya polisi na vituo vya polisi, kambi za jeshi, kiwango cha uhalifu, uelewa wa wenyeji kuhusu usalama kwa ujumla,
Kimataifa. Idadi ya mashirika na taasisi za kimataifa zenye makazi miji hiyo, ofisi ndogo za ubalozi, nk
Najua vingine vigumu kupata kwa ushabiki wa humuhumu ila with time inawezekana. Nadhani hapo tutaitendea haki JF as HoGT.
Kujaza mapicha ya majengo humu sio ishu sana maana ni sehemu tu ya ushidani tena kijipengele.
Kurahisisha teueni watu wenu wasimamie mtifuano. Maana kuna stori hii miji (sio kabila) ina wasomi na wastaarabu wengi. Make this a battle of minds.
Kila kipengele kitachokubaliwa kushindaniwa kuwe na takwimu.
Mwishoni itatupa mwanga as a people tukowapi na wapi pa kujiboresha.
Nawasilisha na poleni kwa gazeti lisilo na picha.
Ni sehemu gani moshi ulienda,, mji mdogo hata kwa baiskeli unaumaliza ndani ya dk 15
Nshomile wanawekeza kwingine. Nani yuko tayari kupoteza pesa zake kujenga ambao anaamini si wa kibiashara?, au nani awekeze moshi mji ambao umeterekezwa na wenyeji? Hawa watu wapime huko
Watu wanaangalia maslahi, nijenge majumba kisa ni kwe ?, hiyo hasara ataifidia nani?
Mfananisho ni bk na msh. Dar haihusikiIstanbul kuna sehemu Dar inaitwa kwa Wahaya mwananyamala unakuta vibatari na ukifika tu mwanaume unachoma ndani kuhudumiwa ila sijaona kwa wachaga hivi!! Kwa wachagga Kimara na Mbezi ni full ufugaji wa kuku na biashara za kawaida
Upuuzi tu kuweka mapicha ya majengo bila takwimu za upangishaji wa rent kwa square meter. Hii nchi eti hawa ndo kabila tunaziamini kiusomi..... ptyuuuuuMashindano ya kujikweza facts hamna
Huyu jamaa zombi nini??? Hapa tunasema bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaroMiundo mbinu Moshi iko bomba zaidi
Shule nyingi nzuri Zipo moshi kwani hata wakazi wa Dar huwapeleka Kilimanjaro watoto wengi kusoma
Kambi za jeshi Kaskazini hata sehemu za maarufu ya mafunzo ya polisi
-Usafi Moshi wako vizuri hata takwimu zinajieleza wazi
- Sehemu nzuri za starehe zipo nyingi Moshi hasa vijijini km Machame, Marangu
Hivi bk kuna wahaya tu mi sijui hivyoKuzikwa pekee haitoshi kwani hamurudi nyote mngetafuta wiki maalum ya wanabk tukaona msafara mrefuuu kama wachaga na ikawa kama tamaduni kwa watanzania wengine kuwa wahaya hao au wanabk haooo wanaenda kwao
Ni zaidi ya sifa. Ningekua meenyeji wa Msh mjini ningejitanabaisha kwa takwimu kama yule alieleta za TRA japo kaweka za mkoa.Hawana lolote achana nao misifa tu!!!!
Moshi kuna nini cha ajabu