Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua unaijua Moshi tu! Jitahidi uijue na Bukoba! Kuijua Bukoba sio kufika mjini na kupita. Hizi pumba unazoandika hapa ni aibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila bk washamba check mibaiskel ya phonex mjini katikati hahahaView attachment 1012709

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zipo hadi Kampala dogo! Unashangaa kuziona Bk?? Unajipambanua jinsi unavyopajua Moshi tu. Inaonekana hata Mwanza hupajui vizuri, maana usingeshangaa kuziona. Kwanza hata Dar zimejaa wakurya wanauzia mayai asubuhi mpaka usiku. Labda Tanga ndo wana vile vibaiskeli vya sports wenyewe wanaviita Sehewa.

Kampala hizi zipo hadi city centre na bodaboda wa baiskeli wanapaki kama hivyo. Wachaga mmezidi na nyie kujificha migombani. Mkitoka sana ni Moshi mjini tu. Ona sasa mnawaaibisha wenzenu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni la Zaman tofauti na lenu mlilojenga juz Kati tuu
Hapo nakubaliana na wew. Ila kwa makanisa ya vijijin hunifikii hata robo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena usije ukajichanganya ukaleta makanisa ya vijijini mdogo wangu.. Bk isikie hivi hivi. Kama hayo makanisa ya vijijini galijengwa zamani sawasawa na hiyo cathedral na cathedral yenyewe inafanana hivyo unafikiri yenyewe yakoje?? Ila nisikukatishe tamaa yalete tu tulete ya bk utalia kaa ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vaa miwani utazame haya makanisa ya baadhi ya vijijin huko uchagani
Niendelee?View attachment 1012722View attachment 1012723

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nianze tu kwa kukwambia kuwa hilo kanisa japo la mtandaoni bado sana kwa makanisa ha bk huko vijijini. Twambie la location ya kanisa na pia na picha ya kibao cha kanisa lenyewe. Mbona ya mwanzo umeweka!??

Ila pia nikwambie tunataka picha za kupiga na kamera yako! Mwambie mtu apige akutumie. Sio hizi za kuunga unga. Huu mchezo tukiufanya sisi mtalia. Kwa nini usilete picha original from the source kama unajiamini?? Mbona sisi tunatupia vitu vyenyewe na wewe unasuuzika!??



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri Ni kwamba Moshi nimekaa na kusoma almost 12yrs nimesoma mawenzi pr, old Moshi sec naijua Moshi yote parokia na vigango miss ya papa Paul 2 mwaka 90 nimetumikia hapo Christ the king cathedral, kibosho, kilema kuhiji nimetumikia pale na askofu amedeus rip, kwa bukoba nimesali parokiani pale mjini, ngara kwa fr askofu niyemugizi,kilaini, karagwe, muleba pale rubya, na sehemu Moja BK vijijini Jimbo la mughana wanapohiji kwakweli bukoba Bado ningetupia na picha sema tu net ipo low picha zipo ktk Gmail, Moshi juuuuuuuuuu!!!!
Kizuri kwenye suala la picha mna visingizio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mm hapo cjaleta makanisa bab kubwa ya marangu,rombo,kilema no hapo ni mfano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi si ulete tu utupigie picha vizuri na vibao vyenye majina ya hayo kamanisa?? Hizo picha za kuunga mitandaoni sio ushahidi mzuri. Hii inadhihirisha hakuna kitu mnahaha kutafuta pa kufia.

Weka picha original from the source na kibao cha jina na location ya kanisa, watu tufunge midomo. Kwani shida iko wapi!? Mfano mdogo ni huu
IMG_20190110_135102_6.jpeg
IMG_20190110_135039_4.jpeg
IMG_20190110_134950_6.jpeg
IMG_20190110_135108_0.jpeg
IMG_20190110_135141_0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20190110_134938_6.jpeg
    IMG_20190110_134938_6.jpeg
    61.1 KB · Views: 20
Mimi nipo neutral SI mchaga Wala haya niambie wapi sijagusa? Mughana nimeenda kuhiji July last yr kule ndani chini kwenye chemchem nikatoka nikaja nje pale kwenye msalaba jiran na kanisa nikatoka nikaingia hospital nikarudi BK town uliza wapi BK nikupe jibu mpaka kyerwa yote, mutukura, rusumo, kyaka, k9, bmulo
We sio mchaga?? Kinusi ipo mkoa gani?? Kwa nini usitulinganishie na makanisa ya kwenu?? Udalali utawaua nyie wagogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ulitoka kuhiji na unatuletea uongo hapa.kwanza huko mugana kuna majumba ya ajabu na pia uliona jinsi ukatoliki ulivyoshika haswa sio Kwa idadi Ile ya watu .mji wa bukoba unakauka gafla kisa imani Kwa bikira Maria

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi aliwai ona idadi ya wakatoliki wengi kama aliyoiona kwenye hija pale Mugana!? Huyu mgogo tu deal nae atuletee picha za Dodoma. Maana huu uzi haujazuia kuleta za kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Ni mtafiti huko mgana nilipita nikafanya na hija fupi hapo so naijua Tanzania yote na east Africa Hadi Central siyo naiponda BK hapana Bali napajua vyema huwezi linganisha BK na Ms hata kidogo shida yenu ninyi nshomile wajuaji tu "TINTI NANTALE EXCEPT GOD" imebidi nikupe na kipande Cha lugha yenu kidogo Kama umezaliwa juzi kaombe tafsiri kea wahenga
Tunataka sasa tulinganishe na kwenu. Acha kushadadia kwa wanaume wenzio mkuu. Kuna kuolewa ujue. Nakukumbusha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bosi si ulete tu utupigie picha vizuri na vibao vyenye majina ya hayo kamanisa?? Hizo picha za kuunga mitandaoni sio ushahidi mzuri. Hii inadhihirisha hakuna kitu mnahaha kutafuta pa kufia.

Weka picha original from the source na kibao cha jina na location ya kanisa, watu tufunge midomo. Kwani shida iko wapi!? Mfano mdogo ni huuView attachment 1016419View attachment 1016420View attachment 1016422View attachment 1016423View attachment 1016425

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishamwambia na alikimbia kabisa na kutoroka kusikojulikana .hasijaribu kulinganisha moshi na bukoba upande wa dini maana bukoba sio ya mchezo .tukileta parokia za bk atalia.halafu mkuu leta picha za vijijini huko bugabo tuwafunge mdomo hawa watani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ongea history ya ukristu Tanzania bila kuitaja bukoba

Kwanza seminary ya Kwanza tz Rubya
Seminary kuu ya Kwanza ya mtakatifu Leo Rubya
Mapadre wa kwanza tz wanatoka bukoba
Askofu wa kwanza mtanzania bukoba
Kardinali wa Kwanza mweusi duniani bukoba
Askofu mkuu wa kwanza balozi wa papa bukoba
Nadhani mpaka Pope WA Kwanza mweusi atatoka bukoba
Kumbuka bukoba ni white fathers waliotoka uganda hebu tazama hiyo picha uamini niliokwambiaView attachment 1013124

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Alafu anasema kanisa la Kashozi halikujengwa 1892!! Sasa aone hii ya Rubya mwaka 1880 azimie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni stand ya mabasi ya shirika la reli (TRC).Karibu mikoa yote zilikuwepo.
Alafu kweli! Nimeelewa. Hii sio stendi ya mabasi. Hapa ni railway. Mikoa yote yenye reli hizi stend zipo! Maana nakumbuka ya Kigoma hadi leo ipo, n.k. Mkuu umewaumbua vuzuri sana. Wewe umemaliza uzi sasa. Nawasubiri waropoke niwape za chembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha eti stand ya mabasi ya shirika la reli kwahiyo reli huwa zinapaki stand? Hahaha sina mbavu
haya hebu niwekee picha za stand za hiyo mikoa mingine za enzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwenye hiyo picha unaona sehem ya kusimama magari?? Shame. Pambaf kabisa. Kumbe liuzi lote ni upupu mtupu. Nilishawahi kutahadhalisha tabia ya wachaga kupenda sifa za uongo! Kwani ukisema ulichonacho wewe unakufa??

Msione wahaya wana sifa, wana sifa kwa kile kidogo walicho nacho! Sio nyie mnaiga sifa kwa wahaya na mnajisifia vitu vya kutunga.

Hii ni railway station na siobus stand. Mbuzi wa kichaga nyie. Mwafwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom