ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,144
Hilo basi limefikaje huko halafu ni msiba au ndio kama kawaida kwenda kuhesabiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaonesha kabisa kuwa mengine yote mnayosema Moshi hayapo! Kama picha za vyuo zimepatikana na ni original from the source zikiwa na picha za vibao vya vyuo, inaonesha kabisa hayo mengine hayapo na ndo maana hayaletwi picha zake na zikiletwa ni za mtandaoni hazina hata caption au vibao vya location.Universities and university colleges in Moshi
KCMC
View attachment 1013230
Moshi Co-operative University (MUCO)
View attachment 1013234
Mwenge Catholic University (Mwekau)
View attachment 1013236
Mweka Wildlife College (MWICO)
View attachment 1013244
Stephano Moshi University College (STAMUCO)
View attachment 1013245
Yaani wewe wakati wenzio wanapiga picha za raia wahaya huko vijijini, wewe unapiga picha za appartments za wawekezaji zinazokaliwa na wageni kwa kulipia?? Looser kabisa. Eti huyu nae ni mchaga anaelewa kinachofanyika hapa jamani!Nimekumisss Marangu Kijijini Ebu Angalia Manzari Dah!
Wahaya Ebu Kaeni pembeni, we're really blessed black jews in Tanzania.View attachment 1013266View attachment 1013267View attachment 1013268View attachment 1013273View attachment 1013269View attachment 1013271View attachment 1013272View attachment 1013274View attachment 1013276View attachment 1013285View attachment 1013288
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti katikati ya mji! Kwa hiyo na cathedral ya Bk ipo katikati ya mji?? KahawaBk level yake ni tarime chek bk mjin mabanda ya mabanzi katikati ya mjiView attachment 1013297
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umemueleza. Mtu anakimbilia kupiga picha hoteli ya watu utafikiri yeye hajalala kwenye nyumba!!



Hauna haja ya kusema unaleta. We weka tu mkuu. Kwani sisi tukitaka kuleta tunaanza kulia lia kama wewe!?Hizo hôtel zipo mjin? Si zipo vijijin? Ngoja tuwaletee za makaz ya watu ndio mtazimia kabisa andaeni wakuwapepea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii shule ipo Same mkuu. Naijua vizuri. Na picha zake nyingine nilikuwa nazo naweza kuzifukunyua nikaziweka.
Fazili wachaga mmezaliwa Moshi mjini?? Hebu saidia saidia tupate na za vijijini basi maana imepita miaka miwili sasa mnatukimbia
Kwa hiyo hili nalo kanisa? Au unadanganywa na hivyo vipembe vilivyoinuka hapo pembeni?? Ushamba wa wachaga ni wa kiwango cha SGRHivi wewe kweli haunazo Hilo ni mawela uru,yapo mengi maelfu kwa maelfu huko vijijin tutayaweka yote hapo ili muumbuke
Kwa akili zako ni picha za kanisa moja? Kweli ulevi wa rubisi mbayaView attachment 1013345
Sent using Jamii Forums mobile app



Namuwekea na station ya Kigoma ya miaka hiyo hapa. Alafu aseme kama ndio stend ya mabasi ya Kigoma.Reli kupaki stand unamaanisha nini?Watoto wa mliozaliwa miaka ya 2000,mna tabu sana.Kitu kama hujui uliza upate faida.Usijifanye "much know".
Miaka ya nyuma shirika la reli lilikuwa na mabasi yakitoa huduma za usafiri kuunganisha na mikoa isiyounganishwa na reli ya kati.Mfano Dar - Iringa,Itigi(Singida) - Mbeya n.k.
Usafiri huu wa mabasi ulikuja kufa mwaka 1990.
Unalewa sasa mkuu. Sio Arusha na Mwanza hii ni MoshiArusha stand 1971View attachment 1013369
Kaitaba noma sana. Pitch yake kama mbele aisee. Sema yamebaki majukwaa. Yakiwekwa majukwaa ya ukweli hawa wachaga wakija kuangalia mechi watajificha Bukoba wabaki huku hukuUwanja wa kipekeee wa mpira mjini bukoba kaitaba stadium bukoba.uwanja WA tatu Kwa ubora tz .hivi wachaga mnajuaga hata mpira kweli.maana sijawahi sikia timu kutoka moshi.
Huku kagera sugar inaziumbisha timu za Simba na yanga na ni moja ya timu kubwa tano nchini all the time
1. Simba
2.Yanga
3.Azam
4.kagera sugar
5.mtibwa sugarView attachment 1013469View attachment 1013471
Sent using Jamii Forums mobile app


Kwa hiyo shule za Tanga, Lindi, Kigoma n.k hazina play grounds? Hebu eleza kukosa uwanja wa maana hapo Moshi na sio unatuletea habari za viwanja vya shule vya kufanyia mazingaombwe ya wanafunziMzee baba hakuna shule yoyote katika mkoa wa Kilimanjaro usiokuwa na zile playground hapo nikuweke sawa na kama siyo zile umiseta na utashuta kuondolewa na mambo mengine ya kinafiki wa FAT ya ndolanga na wenzake kujenga mazingira kupata vipaji katika michezo nadhani ktk soka wachagga wangejaa maana tungeuzika ulaya ila haiko kifursa ubabaishaji tu umebakia natamani hata katiba ya TFF ifanyiwe marekebisho maana bado naona leordger tenga arudi kuliongoza maana ni raisi bora katika shirikisho la mpira wa miguu tanzania#
Sent using Jamii Forums mobile app



Blaza hizi hotel zimejaa mikoa yote Tz. Hata mimi sishindwi kupiga picha Dar nikasema ni Bk. Tupigie na kibao cha hiyo hotel. Mbona mnapenda ushindi wa kuunga unga??Marangu Moshi Kilimanjaro ulaya ya tz liko wapi joto?View attachment 1014540
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja mdogo mdogo kamanda wangu. Mbona mchezo mdogo sana!? Mi sitafuti mahoteli kuyapiga picha kama wao. Na deal na kijijini tu! WatatafutanaNilishamwambia na alikimbia kabisa na kutoroka kusikojulikana .hasijaribu kulinganisha moshi na bukoba upande wa dini maana bukoba sio ya mchezo .tukileta parokia za bk atalia.halafu mkuu leta picha za vijijini huko bugabo tuwafunge mdomo hawa watani
Sent using Jamii Forums mobile app



Wao wanatuletea picha za Mangi! Kuna vitu vinachekesha sanaHuyu ndo mtanzania wa Kwanza kupata PhD na alisomea havard .View attachment 1016449View attachment 1016450View attachment 1016451View attachment 1016452View attachment 1016453
Sent using Jamii Forums mobile app






Blaza mchaga amekujibu kwamba nyie wengine bado mpo mbali sana. Mkisoma na kuwa na maendeleo watawatafuta mjadili nao kama wanavyojadili na wahaya kwa sasa!Sijaelewa bado huu mjadala kuhusu Kagera na Kilimanjaro unahusu nini hasa, kwani Tanzania sio nchi moja?