Mefloquine
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 499
- 1,204
Na wewe ni mtanzania pia?Hapo tz tulikuwa tumeshapata uhuru?
Na wewe ni mtanzania pia?Hapo tz tulikuwa tumeshapata uhuru?
. Mimi sio mtanzania ila nina asili ya utanzaniaNa wewe ni mtanzania pia?
Mkataa kwao mtumwa kaka. Hawa wachaga sio waume zako kwamba sasa umekua umeolewa ndo umebadili na kabila. Wewe utabaki mgogo tu mkuu. Kukaa Moshi kusikudanganye ugogo umezaliwa nao! Pole sana kamandaTembea uone wewe kinusi nilipita kazi pale za utafiti was Ruby, nikaenda chogola kwenye dhahabu Napo nilifanya yangu nikarudi mjini Sasa kiandika kinusi kwetu unafikiri mi wa bush?
Hahaha sundoka acha kutokwa povu, mzee kinusi kwetu kakupa fact zote kuhusu bukoba na uchagani unaweweseka kwa povuMkataa kwao mtumwa kaka. Hawa wachaga sio waume zako kwamba sasa umekua umeolewa ndo umebadili na kabila. Wewe utabaki mgogo tu mkuu. Kukaa Moshi kusikudanganye ugogo umezaliwa nao! Pole sana kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee hawa wahaya huwa ni wabishi mno anaweza kubishana hata na jiweHaaaa! Haaaa! Ningeandika kondoa kwetu ungesema mi mrangi kutoka a na ueleweke wako finyu, Huku Nick names shangazi ndo tunatumia think big mi nipo flexible kusoma na kukulia Ms siyo ishu kuwa natetea uchaga najua mji ulivyo povu jingiiii!!! Hebu toa comments zako kuhusiana na hii mada tupate kujua uelewa wako wa nchi hii.
Hahahaha hili jibu litaweza kumfanya augue ugonjwa wa moyoBlaza mchaga amekujibu kwamba nyie wengine bado mpo mbali sana. Mkisoma na kuwa na maendeleo watawatafuta mjadili nao kama wanavyojadili na wahaya kwa sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha duh wahaya mnanivunja mbavu yaan karne ya 21 baiskeli zinapaki stand? Sijawahi ona et hata Kampala zipo hahaha huu umaskini ni hatari check watu wenyewe walivyokaa kishamba Ila wahaya mnatia aibu
View attachment 1017371
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi mareale akipata masters degree 1942 imagine mtawala wa jadi alikuwa na masters
MnajifurahishaNakuja mdogo mdogo kamanda wangu. Mbona mchezo mdogo sana!? Mi sitafuti mahoteli kuyapiga picha kama wao. Na deal na kijijini tu! Watatafutana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hôtel ipo marangu kijijinBlaza hizi hotel zimejaa mikoa yote Tz. Hata mimi sishindwi kupiga picha Dar nikasema ni Bk. Tupigie na kibao cha hiyo hotel. Mbona mnapenda ushindi wa kuunga unga??
Ukimaliza kuleta picha za hivyo ulete na za makazi yenu huko vijijini kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pmj na kutokuwa na uwanja wa mpira sion hasara yoyote wachaga mbona tunapiga soka?Kwa hiyo shule za Tanga, Lindi, Kigoma n.k hazina play grounds? Hebu eleza kukosa uwanja wa maana hapo Moshi na sio unatuletea habari za viwanja vya shule vya kufanyia mazingaombwe ya wanafunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pmj na kutokuwa na uwanja wa mpira sion hasara yoyote wachaga mbona tunapiga soka?Kwa hiyo shule za Tanga, Lindi, Kigoma n.k hazina play grounds? Hebu eleza kukosa uwanja wa maana hapo Moshi na sio unatuletea habari za viwanja vya shule vya kufanyia mazingaombwe ya wanafunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewataadharisha ili wakati mkiaibika msije tulaumuHauna haja ya kusema unaleta. We weka tu mkuu. Kwani sisi tukitaka kuleta tunaanza kulia lia kama wewe!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hotel zipo vijinBora umemueleza. Mtu anakimbilia kupiga picha hoteli ya watu utafikiri yeye hajalala kwenye nyumba!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhesabiwa mkuuHilo basi limefikaje huko halafu ni msiba au ndio kama kawaida kwenda kuhesabiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mabasi ya kawaida kbs uchaganiHilo basi limefikaje huko halafu ni msiba au ndio kama kawaida kwenda kuhesabiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichokoses hapa ilitakiwa tukizoom tuone mpaka plate number za magari au mtu akiwa anapika makande su kibuluWapi wewe utadhan pori la akiba selous
Check mji wa Moshi ulivyopangika utadhani Toronto (in mwanri's voice)View attachment 1012470View attachment 1012472
Sent using Jamii Forums mobile app