luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Hapa ni mangi mkuu mareale akiwa ktk ikulu yake Moshi mwaka 1952 aliootembelewa na mtoto wa malkia ElizabethHivi hawa jamaa mbona wanakaubaguzi fulani hivi! Sasa anasema Moshi ilikuwa Dora kamili na anasema ingeachwa, hajui kulikuwa na Dora za maana sana kuliko hiyo ya ukabila, nakupa Dora zilizokuwa zimeshiba Mkwawa (mkwava),
Huyu jamaa alitawala siyo wahehe tu.
Kuna kiboko mwingine anaitwa Mtemi Mirambo huyu alitawala sehemu kubwa sana pia alipigana vita nyingi sana.
Acheni ubaguzi wakikenya. Msituchafulie hali ya hewa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi mareale alikuwa msomi wa masters kutoka Cambridge University
VP hao kina mirambo walikuwa na elimu gan?
Sent using Jamii Forums mobile app