Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Uzuri Ni kwamba Moshi nimekaa na kusoma almost 12yrs nimesoma mawenzi pr, old Moshi sec naijua Moshi yote parokia na vigango miss ya papa Paul 2 mwaka 90 nimetumikia hapo Christ the king cathedral, kibosho, kilema kuhiji nimetumikia pale na askofu amedeus rip, kwa bukoba nimesali parokiani pale mjini, ngara kwa fr askofu niyemugizi,kilaini, karagwe, muleba pale rubya, na sehemu Moja BK vijijini Jimbo la mughana wanapohiji kwakweli bukoba Bado ningetupia na picha sema tu net ipo low picha zipo ktk Gmail, Moshi juuuuuuuuuu!!!!
@instanbul
sundoka
The Great Haya mmesikia ushuhuda wa mhenga kinusikwetu ?
Uzuri mmoja ukweli haufichiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Malisa ampinga Polepole kwa fact*


Huyu dogo ameanza kuchanganyikiwa. Moshi ilianza kuendelea zamani za pontio pilato kabla ya ujio wa Dr.Livingstone na Gavana Edward Twining.

Mwaka 1902 barabara zinazounganisha mitaa mbalimbali ya Moshi zilikuwa na lami, enzi hizo CCM haijazaliwa, mama yake TANU wala bibi yake TAA.

Mwaka 1895 Ikulu ya kwanza ya kisasa ya Mangi mkuu wa wachagga ilijengwa eneo la KDC Moshi. Ikulu hiyo hadi sasa ndiyo inayotumika kama Ikulu ndogo ya Rais akija mkoani Kilimanjaro.

Mwaka 1917 dola ya wachagga ilikuwa na mfumo rasmi wa serikali na baraza la mawaziri, ikiwa ni pamoja na ofisi na magari kwa watendaji waandamizi wakiwemo mawaziri. Ofisi za mawaziri ndio zinatumika leo kama ofisi za halmashauri ya wilaya ya Moshi.

Miaka 100 iliyopita Moshi kulikuwa na viwanda mbalimbali kikiwemo kiwanda kikubwa zaidi cha kubangua kahawa eneo la Afrika Mashariki. Mwaka 1940 dola ya wachagga tayari ilikuwa na gazeti lake (Komkya), lililokuwa likisomwa maeneo yote ya wachagga kuanzia Siha hadi Rongai. Gazeti hilo liliandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
-
Kufikia mwaka 1950 karibu kila kata au tarafa ilikuwa na shule ya sekondari, zahanati au kituo cha afya pamoja na kanisa la kisasa, kuanzia Siha mpaka Tarakea. Sio zote lakini nyingi zilikuwa na shule zilizojengwa na wamisionari miaka mingi sana iliyopita.

Wakati chakubanga na babu yake wanatembea kilomita 50 kwenda kuchoma chanjo ya tetekuwanga, wazee wa kichagga walikua wakipata huduma za afya kwenye vituo vya afya vya mission vilivyopo kwenye kata/tarafa zao.

Leo mtu mmoja pengine kwa sababu ya kukosa chanjo ya pepopunda anaropoka kwamba maendeleo ya Moshi yameletwa na CCM? What a shame.!!
-
Kimsingi CCM na serikali yake zimezorotesha maradufu maendeleo ya Moshi kuliko wakati mwingine wowote katika historia. Moshi ya wakati ule (kama dola yenye mamlaka kamili), na Moshi ya leo (kama wilaya) ni vitu viwili tofauti. Moshi ingeachwa kuwa dola huru kama ilivyokuwa zamani, ingekuwa na maendeleo maradufu kuliko leo.

Halafu kama kweli CCM inaleta maendeleo, mbona kuna mikoa haijawahi kuchagua upinzani na bado haina maendeleo? Kwanini maendeleo hayo CCM isipeleke kwenye ngome zake? Next time mwambieni kabla hajabwatuka ajifunze historia kdg.!!!!!!!!!

Source instagram:Malisa_gj
Hivi hawa jamaa mbona wanakaubaguzi fulani hivi! Sasa anasema Moshi ilikuwa Dora kamili na anasema ingeachwa, hajui kulikuwa na Dora za maana sana kuliko hiyo ya ukabila, nakupa Dora zilizokuwa zimeshiba Mkwawa (mkwava),
Huyu jamaa alitawala siyo wahehe tu.
Kuna kiboko mwingine anaitwa Mtemi Mirambo huyu alitawala sehemu kubwa sana pia alipigana vita nyingi sana.
Acheni ubaguzi wakikenya. Msituchafulie hali ya hewa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo amejitekenya mwenyewe. Hahahahaha kweli nyie watu mnahangaika kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo neutral SI mchaga Wala haya niambie wapi sijagusa? Mughana nimeenda kuhiji July last yr kule ndani chini kwenye chemchem nikatoka nikaja nje pale kwenye msalaba jiran na kanisa nikatoka nikaingia hospital nikarudi BK town uliza wapi BK nikupe jibu mpaka kyerwa yote, mutukura, rusumo, kyaka, k9, bmulo
 
Mimi nipo neutral SI mchaga Wala haya niambie wapi sijagusa? Mughana nimeenda kuhiji July last yr kule ndani chini kwenye chemchem nikatoka nikaja nje pale kwenye msalaba jiran na kanisa nikatoka nikaingia hospital nikarudi BK town uliza wapi BK nikupe jibu mpaka kyerwa yote, mutukura, rusumo, kyaka, k9, bmulo
We ulitoka kuhiji na unatuletea uongo hapa.kwanza huko mugana kuna majumba ya ajabu na pia uliona jinsi ukatoliki ulivyoshika haswa sio Kwa idadi Ile ya watu .mji wa bukoba unakauka gafla kisa imani Kwa bikira Maria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umenitibua nakuletea picha mbalimbali za mitaa ya bukoba bila kugusa mjini Kati hata kidogo yaani suburbs ndo zinaletwa hapa sirudii picha please karibu.ukisikia bukoba ni pazuri ndo huku wanaposema.mkifika huko bukoba msiishie kashai na stendi tembea muone
11vvvv.jpeg
101.jpeg
18.jpeg
19.jpeg
58.jpeg
60.jpeg
56.jpeg
44.jpeg
57.jpeg
47.jpeg
136.jpeg
Bukoba%20town.JPG
11.jpeg
46.jpeg
88jjjj.jpeg
54RUGANUZA.jpeg
48.jpeg
Dl-jNQJW0AEp971.jpeg
3191630493_5731da5f38.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Ni mtafiti huko mgana nilipita nikafanya na hija fupi hapo so naijua Tanzania yote na east Africa Hadi Central siyo naiponda BK hapana Bali napajua vyema huwezi linganisha BK na Ms hata kidogo shida yenu ninyi nshomile wajuaji tu "TINTI NANTALE EXCEPT GOD" imebidi nikupe na kipande Cha lugha yenu kidogo Kama umezaliwa juzi kaombe tafsiri kea wahenga
 
Yaan tumerudi nyuma hatua mia, tatizo ni ukosefu wa garden na miti kwenye majengo yetu, tupende kuweka garden, huwa zinapendezesha sana eneo.
 
Kanisa la kashozi lilijengwa mwaka 1892 na hadi Leo lipo huko bukoba unaweza ona mapaa yakeView attachment 1013063

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujidanganya kijana,hilo kanisa lingejenwa wakati huo lingekuwa kwenye historia ya ukristo Tanzania....,

Ukristo uliingia Tanganyika 1868 pale Bagamoyo na kujengwa kanisa la kwanza ukielekea Kaskazini mpaka Kilema 1880-85 palipo simikwa kanisa la pili then Kibosho 1892-93,baada ya hapo walijigawa wengine walitembea na reli ya kati mpaka Tabora ndipo walipotawanyika tena kuelekea lake zone hiyo ilikuwa 1900s....,sasa ukisema kanisa limejengwa 1892 ni uongo.

Ngoja niitafute hiyo historia ya kanisa kisha nii attach humu uone jinsi unavyopotosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom