luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Asante kwa kumuumbua,chezea vitu vyote sii teknolojiaArusha stand 1971View attachment 1013369
Aje tena abishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kumuumbua,chezea vitu vyote sii teknolojiaArusha stand 1971View attachment 1013369
Kule wanaitaga "sekudo" hahaha hawa manyambala ni washamba balaa check tu walivyokaa kaa haiihitaji PhD kutambua kuwa ni washamba kiwango cha standard gaugeHalafu ni madaladala hahahahahaha
Elimu ipi unazungumzia ???Sisi tunapeana changamoto maana tumeona tunaweza kwenda sawa nyie tumewaacha mpaka mpate elimu kama Moshi na bukoba mkuu pole Sana. Mkipata elimu tutawakaribisha kwenye changamoto za maendeleo
Nyie si ndio mlikuwa mnasema mamiti mbona nanyi mji wenu una umejaa miti.halafu mna uhaba WA picha hamna picha za mtaa picha no zilezile tena za Google
Ndani ya kanisa hili unaweza fikiri hupo mbinguni sio Kwa uzuri huuHivi wewe kweli haunazo Hilo ni mawela uru,yapo mengi maelfu kwa maelfu huko vijijin tutayaweka yote hapo ili muumbuke
Kwa akili zako ni picha za kanisa moja? Kweli ulevi wa rubisi mbayaView attachment 1013345
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashozi road bukoba ikiwa katika usafi wa mitaroView attachment 1013445
Unamfahamu huyu mtu? kardinali wa Kwanza mwafrica dunian.Alizaliwa 1912 huko kijijini Ratabo kamachumu Bukoba.alijiunga na seminary kongwe ya Rubya huko bukoba na kupadirishwa mwaka 1944 mwaka 1952 aliteuliwa kuwa askofu wa Kwanza mtanzania na 1960 Alitangazwa kuwa kardinali wa Kwanza mweusi.alikuwa na akili Sana na busara Sana . Alikuwa rafiki kipenzi wa john poul wa pili maana alimtangulia kuwa kardinali na alimleta tz.Alipofariki alizikwa Kwenye kanisa alilolijenga mwenyewe huko bukoba.ila alizikwa Kwa mda kwenye kanisa kongwe zaidi kashozi.cathedral ya bukoba ilivyokarabatiwa aliamishiwa na kuzikwa humo mwaka 2012 miaka kumi na tano baada ya kifo chakeWameingia kwenye 18 zetu mkuu waache tuwanyooshe hadi wakome
PichNi chini ni mangi mkuu mareale (masters holder) akiwa na mtoto wa Queen Elizabeth alipokutana nae ktk ikulu ya Moshi mwaka 1952View attachment 1013360
Sent using Jamii Forums mobile app
Naliona bus la railway kama sijakosea wakati huo EAR
Uwanja wa kipekeee wa mpira mjini bukoba kaitaba stadium bukoba.uwanja WA tatu Kwa ubora tz .hivi wachaga mnajuaga hata mpira kweli.maana sijawahi sikia timu kutoka moshi.Mkoa nzima wa kagera Hakuna jengo kama hili la Moshi
View attachment 1013374
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh so baada ya vita UWT busMiaka ya 60 na 70 yalikuwepo mabasi makubwa aina ya Layland CD yakienda kwenye maeneo tajwa hapo na cha ajabu mengi yalikuwa yanamilikiwa na Umoja wa Akina Mama. Mfano ni UWT Kilema walikuwa na Layland iliyokuwa inatoka Kilema kwenda Moshi mjini kila siku.
Mwaka 1978 wakati wa vita basi hili lilichukuliwa na jeshi kupeleka askari Bukoba. Moshi ilirudi nyuma sana baada ya Uhuru.
lao halikurudi?
Hapo Ni double Rd alipo huyo white men opp nae Ni shule nimepiga hapo Mawenzi p/sch kila mwaka natia timu hapo kuangalia maendeleo ya shule yangu
Lilirudi na kuendelea na kazi hadi miaka ya tisini mwanzoni.
Uliingia mapema mno lini...???![]()
![]()
![]()
unahangaika nn mkuu, Ukristo Bukoba haukusubiri wamisionari waliopotia pwani. Bukoba Ukristo uliingia kutokea Uganda mapema mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo shirika LA ndege linamilikiwa na nani...???I mean Precision Air.
Kumbuka wakati wa mauaji ya wakristo huko Uganda Jimbo la buddu misenyi ya sasa hivi ukristu ulishashamiri
Précision air ni Mali ya ngaleku shirima,mhaya hata Basi hawez milikiHilo shirika LA ndege linamilikiwa na nani...???I mean Precision Air.
Sent using Jamii Forums mobile app