Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Chana cha ushirika (co-operative society) ya kwanza Africa ni KNCU. Na chuo cha Ushirika ndio the oldest co-operative institution in Africa na pia the Moshi Co-operative University ndio Chuo Kikuu pekee Afrika kinachotoa degree in co-operative education in Africa. Chuo hiki ni moja kati ya few East African centers of excellency. Ni pamoja na Mweka Wildlife College ambacho kinatoa pia degree in wildlife management.
Wahaya mmesikia hii?
Kyawanjubu
instanbul
sundoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuna kitu gani hapo zaidi ya bukoba, kweli we jamaa unahangaika sana kuinusuru Moshi dhidi ya Bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ww mtu upo Sawa kichwan? Yaan ufananishe huu uozo na moshi?
tapatalk_1548810363969.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Christ the King Cathedral ndio largest cathedral in Tanzania nitakuletea picha.
Hili hapa .ndo unataka ulinganishe na mater misercodie cathedral ya bukoba.ingawa kuna parokia kama Rubya na itahwa ni kubwa zaidi ya cathedral hiyo.kwenye upande wa dini msiongeee kabisa Kwa sababu bukoba ukatoliki na ulutheri umechimba miziz
Screenshot_20190203-200714.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure nimeona basi yetu mapigo sita hiyo yenye carrier nyeupe benford, nimeiona smaa bus, kishimbo bus, safari rally bus,Frontline na mengine kibao
 
Hilo halifiki nusu ya kanisa la rutabo kule kamachumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom