luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Aisée sasa tukiwaambia hawa walangira kuwa moshi ni ulaya ya tz hawaaminMoshi ni miongoni mwa miji michache iliyokuwa na double road miaka hiyo, double road zilikuwa katika miji ya;
Dar
Iringa
Moshi
Tanga
Sent using Jamii Forums mobile app

