Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,537
- 4,435
Kibosho hiyoVaa miwani utazame haya makanisa ya baadhi ya vijijin huko uchagani
Niendelee?View attachment 1012722View attachment 1012723
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibosho hiyoVaa miwani utazame haya makanisa ya baadhi ya vijijin huko uchagani
Niendelee?View attachment 1012722View attachment 1012723
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mnasema uongo Sana .mji wa bukoba hauna usafiri wa baiskeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa ni la zamani hili Hawa bukoba Lao wamejenga juz ndio wanaojidai ngoja tutajenga cathedral yetu mpya piaHa
Hapo nimetumikia miss 91 to 95 enzi za paroko Padre Amani
Vaa miwani utazame haya makanisa ya baadhi ya vijijin huko uchagani
Niendelee?View attachment 1012722View attachment 1012723
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha The Great Haya upo?H
Hapo maeneo ya sokoni karibu na Lina's night club na the mint night club
Niambie kwanza hii ni sehemu Gan bk then nitakujibuView attachment 1012727
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na akili Yako fupi utawaza hivyo check picha za chini hapa ni mwaka 1943 Hao ni wagombea umangi mkuu wa wachaga,mangi Shangali,mangi mareale VP Zina uweusi?
Nilianguka pua kivp? Mkoa wa 3 kwa umaskini kagera uuangushe Kilimandjaro mkoa wa 2 kwa makaz bora na gdp kubwa? Umelewa rubisi?
@kinusikwetu kwakuwa ww ni mhenga hebu tuambie Kati ya bk na moshi ni wapi ni ngome ya ukatoliki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kinusikwetu hebu njoo ona hawa watu wanaobisha kuwa hapa sio bukoba wakati picha ipo wazi hivi mtu anaebishana na picha si inabidi afanyiwe check up ya ubongo?Usafiri wa kwenda wap wakati pikipiki ni sawa na bure?? Yaani unazidi kujiahaibisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Anacheza huyoMzee kinusikwetu hebu njoo ona hawa watu wanaobisha kuwa hapa sio bukoba wakati picha ipo wazi hivi mtu anaebishana na picha si inabidi afanyiwe check up ya ubongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hukuvaa miwani? Hayo makanisa ni kanisa moja ? Hahaha kweli rubisi ya usiku mbayaSio makanisa hayo bali ni kanisa moja hilo. Halifikii hata kanisa la rutabo huko kamachumu nyumbani kwa cardinal rugambwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sokoni maeneo ya linas night clubJibu swali uloulizwa otherwise utaonekana unajiokotea vipicha mtandaoni hata hujui vya wap
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hukuvaa miwani? Hayo makanisa ni kanisa moja ? Hahaha kweli rubisi ya usiku mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mm hapo cjaleta makanisa bab kubwa ya marangu,rombo,kilema no hapo ni mfano tu
Na mm hapo cjaleta makanisa bab kubwa ya marangu,rombo,kilema no hapo ni mfano tu
Sent using Jamii Forums mobile app