Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Mbona unang'ang'ania kapicha ka zamani kipindi cha mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo nikuwekee za kiangazi? Hii hapa
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu ndo mnakuwa na makanisa ya hovyo hivyo??
Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha
Hili hapa .ndo unataka ulinganishe na mater misercodie cathedral ya bukoba.ingawa kuna parokia kama Rubya na itahwa ni kubwa zaidi ya cathedral hiyo.kwenye upande wa dini msiongeee kabisa Kwa sababu bukoba ukatoliki na ulutheri umechimba mizizView attachment 1012676

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimetumikia miss 91 to 95 enzi za paroko Padre Amani
 
Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayafahamu majina Haya
Kardinali laurean Rugambwa
Askofu protace Rugambwa
Askofu novatus Rugambwa

Mtoto wangu nitamuita Rugambwa hili jina sio la kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom