tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,195
- 27,809
- Thread starter
- #81
CCM ndiye baba wa siasa mkuu. Ndani ya CCM hakuna utawala wa kifalme. Akina Ridhwan, Fred Lowassa, Mama Salma Kikwete, January Makamba, Mizengo Pinda Jr, nk wamepita kwa juhudi binafsi. Hata huyu atapita kwa juhudi binafsi. Kwanza mtoto wa mhunzi kuwa mhunzi sio dhambi.Kile chama noma sana.. wale Covid19 karibu wote walikuwa chakula za wakubwa. Lissu mwenyewe alikuwa na dada yake mbunge wa viti maalum. Dr Slaa alikuwa na ka-mchepuko kake mbunge viti maalum, Ndesamburo alikuwa na binti yake viti maalum.. baba lao Mbowe haina hata haja ya kujadili.