Alirushiwa zigo la vima(walisema ametoa rushwa)Yule wa jenister walimfanyaje?🙂

1. Mbona hii familia ina watoto makini sana zaidi ya huyu brenda...Mchakato ufuatwe akikidhi vigezo na hatua zote apewe jimbo ila isiwe kama hisani.
Naamini hilo litafanyika yuko wapi mdogo wangu Victor ?
Kuhoji vibopa na mademu sasa, anaendesha discovery mpaka ndani ndani huko😂😂😂😂Ila matukio ya wanga na mafuriko serengeti utaskia kawatuma vijana wake😂
Asiingie kwenye mtego huo atajuta kama mtoto wa Jenista Mhagama.Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
View attachment 3564064
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Akabidhiwe ili iweje? Akarithi mali za wizi za baba yakeKatika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
View attachment 3564064
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Ccm hatupeani majimbo, yeye atie nia tu, kura ktk mchakato wa ndani zikitosha inshalah atapeperusha bendera ya Ccm!!
mitano tenaKatika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
View attachment 3564064
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Miaka dahari!!Mmeanza lini kutopeana majimbo?
vichuchu kifuani vianoneka , kungekuwa na uchawi unao fanya kazi, ni kumroga tu ili kukamata jimboLazma waichakaze hio, kitu chenyewe kama embe bolibo
Kuna mtu mmoja kakimbilia g55, kabla yake alikuwa kule demoghasia na alikuwa na ka covid tena kakutoka kanda maalumu, sasa kaacha kale ka covid na kaoa majuzi mwana g55 mwenzakeKile chama noma sana.. wale Covid19 karibu wote walikuwa chakula za wakubwa. Lissu mwenyewe alikuwa na dada yake mbunge wa viti maalum. Dr Slaa alikuwa na ka-mchepuko kake mbunge viti maalum, Ndesamburo alikuwa na binti yake viti maalum.. baba lao Mbowe haina hata haja ya kujadili.
Mwanzoni mwa machi 2006!!!Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
View attachment 3564064
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Mchumi regress hyo taarifaMmeanza lini kutopeana majimbo?
Kuna mtu anaitwa seba kiyoyo kama sijakosea ni mhandisi, nadhani anafaa tukiweka ushabiki pembeni ijapo hawa madogo wa rafiki yangu kama kuna mtu ana sifa anaweza kujipima kupitia mchakato maalumu
Wahuni sio watuAlirushiwa zigo la vima(walisema ametoa rushwa)
Ilikuwa ishara kwamba mfumo hauwahitaji tena.Wahuni sio watu
Kabisa,. Yaani tu mtu amekufa hajapoa tayari vi memo vinafowadiwa chapu ku replace nafasi yaani.. ya watu wao wanaowatakaYatamkuta yaliyomkuta mtoto wa Jenister
Ndo maana wanatuua tukiandamanaKatika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.