jimbo la isimani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya uzalendo

    MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi Kutetea uhuru, mipaka na heshima ya nchi Kuheshimu bendera, wimbo wa Taifa na katiba Kulipa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mbio za ubunge jimbo la Isimani

    KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026 Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya Pawaga, Kata ya Itunundu jumamosi tarehe 9/5/2026. Mgeni Rasmi Ndugu Anord Mvamba Katibu Siasa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Masasi wa Chaumma kuchuana na Emmanuela wa CCM kumrithi Lukuvi jimbo la Isimani

    Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa. Uchaguzi mdogo wa Isimani utafanyika Juni 1, 2026 kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake kwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yampiga chini Fred Ngajiro (Vunjabei) Ubunge wa Jimbo la Isimani, yamteua Emmanuela Mtatifikolo

    Emmanuela Mtatifikolo Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunja Bei kumteua Emmanuela Kaganda Mtafikolo kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani...
  5. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale

    Ndugu zangu Watanzania , Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura. Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Emmanuela Mtatifikolo ajitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani

    Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani. Hatua hii inaakisi utayari wake wa kupeleka uzoefu wake mpana wa kiuongozi katika ngazi ya juu ya uwakilishi wa wananchi. Akiwa ni...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

    Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jinsi Barabara za jimbo la Isimani zilivyo mbovu, sidhani Samia kama ataenda kumzika Wiliam Lukuvi🤣🤣

    Sasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM. Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Isman kwa miaka 30? Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Isimani, Iringa tunasema Festo Kiswaga anatosha kuwa mrithi wa Lukuvi

    Hata Ole Sosopi wa CHADEMA, anamkubali Sana Festo Kiswaga. Safari hii Tunaomba Halmashauri Kuu ya Chama ngazi ya Wilaya, Mkoa, Taifa na Kamati Kuu ya CCM msifanye makosa kutuletea mtu mwingine. Sisi tunataka Festo Kiswaga ndiyo Chaguo Nambari One kwa Jimbo la Isimani. Asanteni Pia soma:TANZIA...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Festo Kiswaga, aliyekuwa DC Monduli mkoani Arusha, achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Isimani, Iringa

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Festo Kiswaga, amejiingiza rasmi katika mbio za kisiasa kueleka uchaguzi mkuu 2025 kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria David Komba atangaza kugombea ubunge jimbo la Isimani

    DAVID Evance Komba ambaye ni Mwanasheria kitaaluma na mzaliwa wa Kijiji cha Lwang’a kata ya Kihorogota tarafa ya Isimani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, amevunja ukimya na kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama...
Back
Top Bottom