Naunga Mkono hoja.
Wewe huwa ni chawa wa kuunga mkono tu, we huna uwezo ndugu? Chawa mkongwe namna hiyo hizo kura za maoni zikushinde?
Naunga Mkono hoja.
Asante mkuu lakini nasubiri chawa mwandamizi Lucas mwashamba achukue kwanza fomu halafu mm nitampigia debe.Ya nini kuhangaika na wote hao wakati nafasi hiyo inakufaa sana wewe, mkuu 'tpaul'?
Isimani (kwa Mwamwindi?); itaneemeka sana ukishika nafasi hiyo; kuliko hao unaowaweka mbele yako.
Nimemaliza kuchangia hapa.
Mimi sio mwanasiasa na wala sitaki kujihusisha kwenye siasa nje ya hapa JF. Kuhusu elimu ninayo ya kutosha. Ridhiwani kanitangulia pale Mkwawa kwa miaka michache.Na wewe una elimu ya kuungaunga ndio maana huchukui fomu?
Wewe wasema.Basi wewe endelea na uchawa ndio kazi uliyochagua mkuu.
Iwapo hayo majimbo yamegeuka himaya za kifalme itakuwa sawa!Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2026) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2026.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono hoja 💯%.
Sio kuwa himaya bali kwa uwezo mkuu. Brenda ana degree mbili. Anatufaa.
Ingeekuwa hizo degree niyo mafanikio ya uongozi mbona zipo hata zilee za hiyari na hazija wrza kutuvudha,achilia maprofeeddor hata yulee wa buguruni alituhujumu kwa kuungana na watesi wa taifa hili!
Hata Mtoto wa Marehemu Jenister Mhagama mlimuombea jimbo hivi hivi, akangukia Pua. Aendelee tu na mishe zake zingine.Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2026) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2026.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono hoja 💯%.
Inaniuma sana kuona kuwa mtoto huyu wa Lukuvi ametoswa kwenye jitihada za kumrithi baba yake, badala yake amekuja kupewa mtu wa kuja.Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2026) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2026.View attachment 3564064