Kwa hiyo unataka kusema Brenda hafai au unasema nn mkuu?
Huwezi linganisha Brenda na Eng. Sebastian Kiyoyo kwa elimu, uzoefu wa kazi, uchapakazi, utu na charisma. Huyo Engineer Kiyoyo tumefanya nae kazi, tunamfahamu kiutendaji na kiweledi.
Kwa hiyo unataka kusema Brenda hafai au unasema nn mkuu?
HUYU TAYARI ANAYO KURA YANGU MOJA KUTOKA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO, AMBAYO INALINGANA NA UNCOUNTABLE VOTES KWENYE ULIMWENGU WA MWILI. MUNGU AMBARIKI NA AENDE NAYE KWA KISHINDO KIKUUKatika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2026) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2026.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Ila tanzania bhnaKatika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2026) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2026.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
😄😄Hakika upo sahihi ikizingatiwa baba yake alianza kutumikia chama cha TANU tangu mwaka 1954 akiwa kwenye korodani za mzee wake.
Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
Ndio maana wanasiasa wanadharau kwa wananchi kwa sababu ya mambo kama hayaIsimani kule nilishatembelea miaka mi nne iliyopita hakuna maendeleo kabisa ni miongoni mwa majimbo ya hovyo kabisa
Kabisa Lucas mwashamba fanya kweli sasaYes. Inabidi safari hii apande cheo kutoka kuwa chawa mwandamizi hadi kuwa mbunge. Ndugu yangu Lucas mwashamba kachukue fomu huko Isimani. Utakuwa chawa mwandamizi hadi lini ndugu Lucas Mwashambwa?
Nlifikaga hko 2005 dah palikuwa nyuma sana sikupaelewa kabisaWatu wa Isimani watakuwa ni Matraakwo kweli kweli!!! Hilo jimbo kama vipi liitwe Lukuvi tuelewe moja.
Kwa nini usiende kugombea wewe?Naunga Mkono hoja.
Si ajabu hata watoto wake ndy first kufika huko
Kaka hii ichukulie sabuni tu😅HII MALISAFI nilikuwa naitolea macho sana kwenye hii tafrija kumbe tayari Manguli wa mjengoni washaipigia hesabu😂! Ama kweli CCM ni ukoo wa panya
Si ajabu hata watoto wake ndy first kufika huko
Ova
Ni wa Chama gani huyu?Jimbo hilo apewe Eng. SEBASTIAN KIYOYO, mtu mwenye akili timamu. Msomi, Mchapakazi na mwenye maono.
Nikuunge nayo ukapigeHiyo pisi imetulia
Nipigie pande mkuu.Nikuunge nayo ukapige
Hilo jimbo apewe member mwezetu N'yadikwa .Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2026) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2026.View attachment 3564064