Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

Jimbo hilo apewe Eng. SEBASTIAN KIYOYO, mtu mwenye akili timamu. Msomi, Mchapakazi na mwenye maono.
Wewe unasema hayo kama nani? Unataka kuharibu utamaduni wa chama?
 
Kuna mtu mmoja kakimbilia g55, kabla yake alikuwa kule demoghasia na alikuwa na ka covid tena kakutoka kanda maalumu, sasa kaacha kale ka covid na kaoa majuzi mwana g55 mwenzake

Hii vita naisubiri kwa hamu yaani ni mwendo wa kuuana!

Unawajua watu wanaitwa BAVICHAA KUINS? ambao kwenye matukio ya demoghasia huwa wamekaa viti vya mbele wamevaa vibana msuli..aisee wale neno "haiwezekani au hapana" hiyo ni dhambi.
Hicho chama kina mambo ya hovyo mno.
 
Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.

"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
View attachment 3564064
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)

MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Hivi wanagombea au wanateuliwa?
 
Kumbe jamaa kafa zamani hivi,mwanzoni mwa march 2006?Huyu aliyekufa march hii 2026 ni msukule wake?
 
Hakika upo sahihi ikizingatiwa baba yake alianza kutumikia chama cha TANU tangu mwaka 1954 akiwa kwenye korodani za mzee wake.

Kumbe hata wewe umeona mkuu?🤣😂🤣😂
 
Wewe unasema hayo kama nani? Unataka kuharibu utamaduni wa chama?
Uramaduni gani? Ni lini CCM watu wamepiga kura na maamuzi yao yakaheshimiwa?
Kamati kuu ndio inayompa mtu ubunge ndani ya CCM! Kura za maoni ni kiini macho tuu.
 
1. Mbona hii familia ina watoto makini sana zaidi ya huyu brenda...
Sema tu watu hawaijui hii familia

2. Mchakato ufuatwe ili kupata mbunge wa hili jimbo (nasema hili jimbo) maana kupitia mzee lukuvi nilijikuta nakuwa kama mzaliwa wa hapa..kumbe natoka mbali!
Wapo zaidi ya Brenda sasa sijajua huyu mleta mada kazitoa wapi japo lolote linawezekana ila ikiwa wataweka nia wengineo naiona familia ikibaki mjengoni
 
Back
Top Bottom