Lazma waichakaze hio, kitu chenyewe kama embe boliboWabunge watavyopigana vikumbo..
Millard Ayo soon ataonekana akizengea interview😂😂.Mzee ameacha mali kweli bana😍
Umechelewa sana, mchakato upi ufwatwe au hujui kuna mikataba ya kurithishana vyeo kama mashamba huko CCM🙂. Hutaamini ila mtoto lazma ang'ae mjengoni huyo.Mchakato ufuatwe akikidhi vigezo na hatua zote apewe jimbo ila isiwe kama hisani.
Naamini hilo litafanyika yuko wapi mdogo wangu Victor ?
Wanaenda kumbato binti ya mwenzao.Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Mzee ameacha mali kweli bana😍
Hamna jipya hapoTumpe muda Brenda kila kitu kitakaa sawa mkuu.
Hahahahah kumbe na wewe umemshtukia mtoto wa mzee Ayo😁! Hapo lazma afunge safari kuelekea IsimaniMillard Ayo soon ataonekana akizengea interview😂😂.
Mwamba akisikia mchawi kaanguka Simiyu anatuma wafanyakazi wake ila kuhoji watoto wa kike wa marehemu viongozi anatimba mwenyewe😂😂😂
Tena huwa anarembua macho kabisa ili kuwakoleza😂😂😂😂😂.Hahahahah kumbe na wewe umemshtukia mtoto wa mzee Ayo😁! Hapo lazma afunge safari kuelekea Isimani
Apewe jimbo kisa ni mweupe? Kweli wewe ni #@&@&#
Gentleman,Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Lukuvi (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Ila matukio ya wanga na mafuriko serengeti utaskia kawatuma vijana wake😂Tena huwa anarembua macho kabisa ili kuwakoleza😂😂😂😂😂.
Mzee baba anajua kupita na fursa.
Mbona tayari kimeshakua cha kifamle na kichawa, eewe ndugu chawa.Ni Brenda Rupia au Brenda Lukuvi? Kama ana sifa za kuwa mbunge apitie mchakato ndani ya chama akibahatika apeperushe bendera. Ila kutaka kulazimisha apewe ubunge sio sahihi. CCM sio chama cha kifalme.
Yule wa jenister walimfanyaje?🙂Yatamkuta yaliyomkuta mtoto wa Jenister
Sijajua kwa kweli ila huyo mtoto nilikuwa namlia chabo sana kwenye hio tafrija fupiDah apumzike kwa aman, Mke wake alikua wapi, sio mpare kweli
Ccm hatupeani majimbo, yeye atie nia tu, kura ktk mchakato wa ndani zikitosha inshalah atapeperusha bendera ya Ccm!!Jimbo hilo apewe Eng. SEBASTIAN KIYOYO, mtu mwenye akili timamu. Msomi, Mchapakazi na mwenye maono.