kugombea ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

    Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30...
  3. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Victor Mhagama kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho ni bada ya chama chake (CCM) kumpitisha kuwa mgombea

    Victor Mhagama amepitishwa na chama chake (ccm) kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho Mkoani Ruvuma. Ni baada ya kifo cha Mama yake mzazi ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo hilo la Peramiho kufariki dunia.
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia Ackson ajitoa mbio za kugombania Uspika

    Wakuu, Taarifa zilizopo ni kwamba Kuna uwezekano wa yeye kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Alex msama aorodheshwa kugombea ubunge jimbo la ukonga kwa tiketi ya chaumma, mwenyewe akanusha vikali

    Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, Msama aliachwa kwenye majina yalirudi jimboni kwa ajili ya kura za maoni ambapo...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma Mjini: Aisha Madoga apitishwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Ubunge

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa chama hicho na Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, amerejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo leo Agosti 27, 2025. Madoga na wagombea...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Homera asindikizwa na mamia ya wananchi wa Namtumbo kuchukua fomu ya kugombea ubunge

    Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Rukwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Katavi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole

    Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo Akihutubia Mamia ya wanachama wa Ccm na wananchi wa Jimbo la Uyole Dkt Tulia amewashukuru kwa imani kubwa...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalunenge achukua fomu kugombea ubunge Mbeya Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEC apitishwa na CCM kugombea Ubunge

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama. Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM: tulioshindwa maoni na tusioteuliwa kugombea ubunge, wawakilishi na udiwani

  14. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Saga Saga kugombea ubunge jimbo la Ludewa kupitia ACT Wazalendo

    Katibu wa Siasa na Unezi wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoani Njombe ndugu Ally Nathan Mhagama ( Dk Saga Saga) Agosti 10,2025 amekutana wananchi wa Vijiji vya Ugera na Mkongobaki wilayani Ludewa Mkoani Njombe kwa niaba ya wananchi wa wilaya hiyo na kuomba ridha ya kugombea nafasi ya Ubunge...
  15. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

    Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma? Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
  16. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba Kujua: Hivi Rais Samia ameshawahi Kugombea ubunge na kuchaguliwa , ni wapi na Lini?

    Kwa wale wajuvi wa Siasa na Historia kiujumla, naomba kufahamu kuhusu Majimbo aliyowahi kugombea Rais Samia, na ilikuwa ni mwaka Gani, pia je aligombea kupitia Chama Gani Nafahamu Rais Samia Amehudumu kama Waziri katika awamu mbali mbali za Uchaguzi. Pia Naomba kujua pia uzoefu uliojitokeza...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mama Salma Kikwete kugombea ubunge ni kujivinjia heshima aliyoijenga miaka mingi

    Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi Anapigiwa mizinga First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari First lady Bi Salma alikuwa na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makunduchi Zanzibar Yalipuka Kwa Shangwe ,nderemo na Vifijo Baada ya Kutangazwa Kuteuliwa kwa Jina La Wanu Hafidhi Kugombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Tabia njema , uchapakazi, unyenyekevu,ukarimu ,heshima ,upendo ,upole ,huruma na Utu alionao Mheshimiwa Wanu Hafidhi Umefanya jimbo la Makunduchi Zanzibar kuripuka kwa shangwe, nderemo na vifijo baada ya kutangazwa kuteuliwa kwa Jina la Mheshimiwa Wanu Hafidhi Kugombea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yatangaza rasmi ukomo kuchukua na kurejesha fomu Kugombea Ubunge, Viti Maalum na Udiwani

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Salum Mwalimu ametangaza rasmi mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi za Ubunge, Viti Maaalum na Udiwani kupitia chama hicho ni Agosti 15, 2025 Saa kumi alasiri
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Rais Samia ashawahi kugombea ubunge na kushinda kwa njia ya kuchaguliwa?

    Wabobezi wa mambo tunaomba mtusaidie au alipitishwa kwa ubunge wa viti maalumu?
Back
Top Bottom