CCM.Ni wa Chama gani huyu?
Mkuu hicho chama hawataki wenye akili kama ulivyo mu address hapoCCM mkuu
CCM.
Zungu bana. Anawachomekea nao wanaingia kwenye mtaro. Bila shaka atampitisha binti Lukuvi kwa kutunisha mfuko wa fomu na rushwa itamwengua.Kwani zungu spika anasemaje?
Sheria mkononi hapanaKaka hii ichukulie sabuni tu😅
Unafeli masta, sasa hapo bila kuwa na 10m per month huwezi ichapa 😅Sheria mkononi hapana
Wanaelewaga hao watoto wa kishua, ukilia vizuri anakupa tunda bila hiyanaUnafeli masta, sasa hapo bila kuwa na 10m per month huwezi ichapa 😅
Siku hizi ukilia sana wanakupa namba ya therapist, ukachekiwe afya ya akili manena 😅Wanaelewaga hao watoto wa kishua, ukilia vizuri anakupa tunda bila hiyana
Asubiri kwanza. Safari hii tunaenda na Brenda. Huyo Injinia familia yake ipo kwenye uongozi? Basi hatufai.Huwezi linganisha Brenda na Eng. Sebastian Kiyoyo kwa elimu, uzoefu wa kazi, uchapakazi, utu na charisma. Huyo Engineer Kiyoyo tumefanya nae kazi, tunamfahamu kiutendaji na kiweledi.
Usiwe na roho mbaya mkuu. Mbona kule bungeni zimejaa familia za viongozi lakini bunge halijawahi kubadilishwa jina. Kwa mfano, bungeni kumejaa familia ya Kikwete. Mbona halijawahi kuitwa bunge la Kikwete? Acha roho mbaya mkuu. Brenda anafaa kutuwakilisha wana wa Isiman. Ana shahada mbili na amejifunza mengi kutoka kwa baba yake.Watu wa Isimani watakuwa ni Matraakwo kweli kweli!!! Hilo jimbo kama vipi liitwe Lukuvi tuelewe moja.
Yeah. Nimeanzisha mimi tpaul mkuu. Nikiwa mwanaIsimani mwandandamizi, nampigia chapuo Brenda kupokea kijiti cha babaye.Hii mada imeanzishwa na mkuu 'tpaul'?
Tanzania kamwe haitaepuka maajabu; hasa tukiwa chini ya himaya ya kundi hili la watu waovu!
Hakuna litakalozuia kuiondoa Tanzania katika uduni huu.