BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba


Kumbuka hii sera imeanza kutumika 27/7/2021 maana yake kila kitu kimeishasetiwa hakuna cha kusubiri mpaka mwakani
 
Isiwe tamko tu, twataka VITENDO..
Bank kuu ndio regulator wa viwango vya riba ktk nchi husika ili kucontrol hali ya uchumi kwa wakati huo. Ukiona bank za biashara zinatoza riba kubwa chanzo hua ni bank kuu kuwatoza riba kubwa bank za biashara pamoja kuweka kiwango kikubwa cha reserve requirement. Sasa ili bank za biashara zipunguze riba basi bank kuu hufanya uamuzi wa kupunguza riba ktk mikopo inayowapa bank za biashara pamoja na kushusha kiwango cha reserve requirement lengo kuu ikiwa ni kushusha riba kwa mikopo inayotolewa na banks za biashara kwa wafanyabiashara. Na sio hiyari kwa commercial banks kufanya hvo bali utaratibu wao. Watatofautiana tu rate za kushusha ila ni lazima washushe
 
Twarudia kusema, isiwe maneno kama Hadithi, twataka vitendo...
 
Equit wameshashisha. Watu wakachue pesa equit. Waache hao wengine waendelele kulinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…