Bongo movies...

Bongo movies...

Kwa kupaste movie za kizungu ni noma, wanaboa!! alafu wanazipunguzia ladha, mfano Wema na Msechu walivyokomaa bila haya kuiharibu movie ya wenzao huku yao wakiipa jn la "Crazy Tenanty" full uozo kwann msitunge zenu.
 
Anayefoka lazima 'atoe macho' huku anahema hema kwa nguvu.
 
eti jini likitaka kuvuka balabala linaangalia kushoto na kulia sasa jaman na jini anaogopa kugongwa na gari
 
Glass tu ndio zinapasuka! Mtu akitaka kuzimia anaangalia pa kuangukia kwanza.
 
Wapenzi utasikia wameishi pamoja kwa zaidi ya mwaka mmoja, ila siku mwanamke anafukuzwa anarushiwa nguo nje zinazoenea kwenye 'kitoto cha bag'. ..na anarushiwa nguo tu wakati unaona dressing table imeenea vipodozi.!.

Pengine unaona wapo kitandani wanajisifia juu ya nyumba yao nzuri..ghafla unaona foronya la mto lina jina la Hotel..!!
 
movies za sultan tamba, mbuyu au mtii mkubwaaaaa kwa juu kuna kitu kitatokea au kuonekana au mganga ana nguo nyekundu la alarm ya kichawi. mabint lazima waseme hey guyz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom