Bongo movies...

Bongo movies...

Jina la filamu la Kiingereza lakini ndani wanaongea Kiswahili

Hilo sio tatizo sana. Ishu ni title yenyewe! Kuna title zinachekesha jamani eti "PREGNANT" au "SECOND WIFE ( Nyumba ndogo)"
Hivi kweli Second wife ni nyumba ndogo? Navyofaham Second wife ni "mke wa pili" tena halali..
Puh! Huwa naishiaga tu kuziona kwenye mabasi nikisafiri kwenda mikoani lakini nyumbani kwangu NO!
 
Waigizaji waliopo kwenye cover la movies si waliopo ndani movies
 
me najiangalianga comedy tu kama za majuto na original comedy nacheka natibu magonjwa yalijificha basi hao wengine sina muda.
 
jmn kuna iyo inaitwa mtaani kwetu cjui yan dak 20 sehemu ya harusi afu tunaambia the end
 
jini akitaka kuvuka barabara aanaangalia pande zote....... m2 akichomwa kisu lazlma iwe tumboni......

Nimeikubali hiyo sijaona mtu akichomwa sehemu nyingine halafu anashikilia kisu pale pale
 
Jambazi anavua viatu kwanza kabla ya kuvamia watu ndani ya nyumba!
 
Wanatia aibu kwenye tafsiri ya scripts..kwa mfano, unamkuta mtu anahanikiza mama! mama! mama! ---tafsiri yake kwenye script ya kiingereza inasomeka hivi: mother! mother! mother!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom