Bongo movies...

Bongo movies...

Wapenzi wakienda kula lazima walishane na msosi chipsi kuku. Na wakiwa nyumbani ili ujue ni wapenzi wanakimbizana bustanini.
 
Ukute sasa wanapigana..na yale makelele...'hwaaa yaaaa'...mmmh!.

Halafu anayekuja kulipiza kisasi anafika ameshika bastola kisha anaangalia juu au upande huku kamuelekezea mbaya wake bastola..na wanamzoom macho kupata matendo aliyotendewa..ambayo ni kama nusu saa hivi. Na baada ya flash back ya nusu saa bado mbaya wake anakuwa yupo palepale anatetemeka.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom