Bongo movies...

Bongo movies...

Bongo muvi lazima iwe na title ya Kiingereza eg High heels..... endeleaaaaa!
 
wapenzi wanakwenda beach wanakimbizana hadi tangazo la wait for part two :frusty:
 
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.

mimi zinaniboa kinoma, siku hisi sitaki hata kuziangalia. Tatizo watu hawana vipaji. Njaa tu.
 
ukianza kuiangalia ndani ya dakika 40 unajua nini kitafuata na inaishaje......
 
Alafu knacho nikera zaidi movie ya saa1:30 wanafosi iwe na party two wakat ni story moja na bora ingekuwa ndefu ndio wafanye hivyo ..wanaonesha vitu ambavyo havina umuhimu kulingana story husika, utakuta character anatembea kutoka ubungo hadi kariakoo au /baar/party/mapenzi/etc kwa dk kibao .(alafu part two inaanzia ilipoishia part one) toka nizaliwe sijawahi ona mzungu/muhindi/mchina/ movie ikawa hivi...tena mda mwingine star/adui/washiriki pamoja na story inabadilika kidogo ili kuendeleza utamu wa jana ..sio kuendeleza pale alipo vunja glass(mbongo) mda mwingine anabalika kwa sababu kila part ni story kamili labda iwe series na mfano mzuri anold(teminator 1 hadi 3) ,mfano wa bongo DOUBLE J 1,2,3,FINAL 1&2)
 
stori ikianza ukiona mtu anapata tabu sana financially ujue atakuja kuwa tajiri...na ukiona imeanza anatumia hela vibaya lazma aje kujuta/kufirisika/kufa kabisa ... hasa kwenye mapenzi na action ndio mamaaaaa kuna vihoja .......utachoka nibora ukae uangalie katuni kidogo utarefresh mind kuliko kuanglia mwanzo na unajua mwisho ulivyo bila kufika na ukifika mwisho unaanza kusema"umeonaa !!!" "me nilijua tuu" "sinilikwambiaaaaa" na mengne nisaidie
 
ukianza kuiangalia ndani ya dakika 40 unajua nini kitafuata na inaishaje......
 
kuna milio special hiyo mtu akifumaniwa utaski ngengeee au jini/mchawi ukija utaskia fyuuuuuuuuuu.... watu wakipigana( shwaa shwaaa au dushh dushh)
 
Background music ni kubwa kuliko sauti za waigizaji. Unaishia kuskiliza mziki tu uku ukifuatilia muvi kwa vitendo
 
Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
Jamani although am late, ila nimecheka mpaka basi...kuna moja niliangalia jamaa akawa anataka kumuambia mwenzie unafanana na kababu kazee.."hey you look like a grandfather"
na movie nyingine eti mtu anaamka asubuhi from bead (ki movie movie sasa) kajiparaaaaa domo limejaa makeup utadhani kalamba damu...jamani vyuo vya sanaa viko kibao tuwashauri washkaji wakajikoki.
 
Ma-handsome boy wao ni beautiful boys, lazima waweke nywele zao superblack + wave na wavae hereni na make-ups kibao kama ma-boflo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom