Ni katika bongo movies:
1. Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu.
2. Maiti zinatetemeka macho
3. Ukitaka kucheka zaidi angalia scene za kipelelezi na za kimahakama.
4. Aliyepigwa risasi ana damu kama sample ya kupimia malaria.
5. ...endelezeni wenyewe mi bado naangalia.
Kwenye subtitle mgeni anaitwa new people
hahahhaaaaaajini linawalisha watu chakula
akipigwa ngumi anaangalia pa kuangukia kwa usalama wake asijeumia. milio ya risasi kama unawasha njiti za kibiriti
jambaz anavua viatu akivamia kwnye nyumba...
tukio linaonyeshwa lilitokea mwaka 1977 halafu ukutani kuna picha ya raisi wa sasa kikwete
halaf aliyeko jela lzm awe ameshkilia madirisha ya chuma huku anasikitika