Binti afia gesti,Kinondoni!!!

Serikali inabidi itangaze kua kila nyumba ya wageni ni lazima iwe na CCTV kuepusha majanga kama haya! na kuwe na routine ya kuzipitiapitia na kama haziwekwi on basi wanapigwa fines!
 
Serikali inabidi itangaze kua kila nyumba ya wageni ni lazima iwe na CCTV kuepusha majanga kama haya! na kuwe na routine ya kuzipitiapitia na kama haziwekwi on basi wanapigwa fines!

PRIVACY JE....muhimu ni hizi nyumba kumaitain registers za wageni vyema
 
Ifike mahali sasa wamiliki wagesti wafanye yafuatayo
1. Kila anayeingia gest awe na kitambulisho
2. Kitambulisho kiwe na picha
3. Aandikishwe kwenye orodha ya wageni
4. A sign
5. Wapia anatoka, anafanya kazi, anaishi iandikwe

hii itasaidia kumpata muhusika wakati wa skendo kama hiyo
 
na inakuwaje wakubali jibaba kuingia na msichana mdogo ambaye for sure mwonekano wake bado ni dent?
 
ifike mahali sasa wamiliki wagesti wafanye yafuatayo
1. Kila anayeingia gest awe na kitambulisho
2. Kitambulisho kiwe na picha
3. Aandikishwe kwenye orodha ya wageni
4. A sign
5. Wapia anatoka, anafanya kazi, anaishi iandikwe

hii itasaidia kumpata muhusika wakati wa skendo kama hiyo

haya yote uliyosema yatanguliwe na uwepo wa vitambulisho vya raia. Maana vitambulisho vingi bongo ni magumashi. Hilo ni deni kwa serikali
 
mie nadhani ziwekwe camera kwenye maguest halafu hata hawa watoto wa kike ni wajinga wewe utachukuliwaje na mtu usiyemjua tena kimyakimya namlaumu hata huyu marehem tena anasoma shule yenye maadili ya dini then anafanya ujinga kweli inatakiwa itolewe elimu kali sana kwa watoto wa kike na wanatakiwa wajifunze maana wanadanganyika kwa vitu vidogo sana na inawezekana masikini wazazi wake hata walikua hawajui kama mtoto wao anatembea na mijibaba kweli watoto wa siku hizi hatari tupu na hata hao wenye guest lazima watakua wanamjua huyo jamaa sababu wanasema hiyo ilikua ni mara yake ya 3 kuleta mwanamke ndani ya guest hiyo!
Ifike mahali sasa wamiliki wagesti wafanye yafuatayo
1. Kila anayeingia gest awe na kitambulisho
2. Kitambulisho kiwe na picha
3. Aandikishwe kwenye orodha ya wageni
4. A sign
5. Wapia anatoka, anafanya kazi, anaishi iandikwe

hii itasaidia kumpata muhusika wakati wa skendo kama hiyo
 
So sad but hawa mabinti zetu Mungu ahusike maana wameshasahau maadili ya uanafunzi kabisa. Yaani wanakimbilia kuchezewa na mijibaba, ili kupata fedha.

Matokeo yake wanavuna mimba na kuzitoa huku wengine wakipoteza maisha, wengine wanazaa wanatupa, wengine wanaambulia ukimwi au magonjwa ya zinaa, wengine wanaishia kufeli shule na maisha kabisa, you name all impacts resulted from early adultery practices!! Poleni wazazi/walezi.
 
mhhh inauma.polisi kama wakitumia forensic evidence watampata tu hana ujanja,kama gest zingekuwa na CCTV ingekuwa poa zaidi,wadada msikubali kupelekwa uchochoroni na mtu ambae humwamini.

Kwa kweli polisi wakiamua kumpata aliyehusika wanaweza lkn nijuavyo mimi siku hizi sio ajabu kesi hiyo akabambikiziwa mtu mwingine asiyehusika.
 
Inasikitisha sana huyo jamaa atafutwe na anahitaji msaada mkubwa sana, anamatatizo kisaikolojia au kimaumbile, na hawa mabinti ahhh Mungu epusha balaa hili.. Serikali boresha maisha ya mtanzania... so sad
 
na inakuwaje wakubali jibaba kuingia na msichana mdogo ambaye for sure mwonekano wake bado ni dent?

hvi wewe hawa watoto huwajui?hahahaha!kwanza wanajua mambo yote zaidi ya tunavyofikiria,am a ticha,nafundisha O levo na advance level
 
dahhh,inauma sana, wadogo na watoto wetu yabid wapewe somo la kuridhika na maisha yao na kutulia na vidogo walivo navo. na hawa mafataki hawa Mungu awalaan, kwanza ndo hawazijal hata familia zao na kusababisha watoto wao wawe hivo, jaman chonde wanajamii ebu tujaribu kemea hili, litamaliza vijana wetu
 
Sipati picha mzazi wa binti sijui yupo katika hali gani,
Yaani unajua mwanao yupo shule kumbee!
so sad.
 
hili swala linaumiza sana.
Sasa niambieni kwa nini mnataka iondolewe adhabu ya kifo? mwanaume huyo afanyweje akikamatwa kama sio kuuwawa?
Mungu nisamehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom