Binti afia gesti,Kinondoni!!!

hivi huwa hakuna utaratibu wa kufata kabla ya kumpa mtu chumba? hiyo guest wasaidie polisi
 
Wahanga wa mwazo wajitokeze kuisaidia polisi jinsi ya lumpata huyo muuaji, labda kala maviagra yake then anajikuta akiwanyonga wanawake bila kujua.

Wangesimulia huyo jamaa alikuwa akiwatenda nini hadi wamkimbie.

RIP ni masikitiko sana kwa familia na taifa
 
na inakuwaje wakubali jibaba kuingia na msichana mdogo ambaye for sure mwonekano wake bado ni dent?
thats correct broda, but guest nyingi zinakuwa zinataka hela tuu hazitozingatia hayo, thats the problem. Na nyingine ni guest za uchochoroni hata kodi hazilipi ndo hazitozingatia hayo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
RIP

But ningependa kuwaasa kizazi cha sasa (wale ambao bado mnatongozwa) Si kila mtongozaji anania njema na wewe.........wengine vibaka, wengine washirikina wametumwa nyweke ya mwanamke ili wapate utajiri, wengine maserial kilaz so be careful

How? hujambo wewe
 
Suluisho la kudumu ni kuwa navitambulisho vya taifa (National identity) ambavyo kila mtu atatakiwa kukionyesha kwa kila jambo iwe ni guest house au katika biashara au deal ingine yeyote ili iwe rahisi kufuatilia endapo litatokea tatizo. Hata wizi utapungua kwa hakika
 
Itawekwa sheria kali kwa wale watakaokutwa guest bila kuandikisha identity zao. With time it will work
 
mie nadhani ziwekwe camera kwenye maguest halafu hata hawa watoto wa kike ni wajinga wewe utachukuliwaje na mtu usiyemjua tena kimyakimya namlaumu hata huyu marehem tena anasoma shule yenye maadili ya dini then anafanya ujinga kweli inatakiwa itolewe elimu kali sana kwa watoto wa kike na wanatakiwa wajifunze maana wanadanganyika kwa vitu vidogo sana na inawezekana masikini wazazi wake hata walikua hawajui kama mtoto wao anatembea na mijibaba kweli watoto wa siku hizi hatari tupu na hata hao wenye guest lazima watakua wanamjua huyo jamaa sababu wanasema hiyo ilikua ni mara yake ya 3 kuleta mwanamke ndani ya guest hiyo!
Siku zote mshahara wa dhambi ni mauti
 
Hao wahudumu wa gesti inakuwaje wanaachia haya yote yanatokea? Siku ya kwanza sijui kaja na nani ikatokea hivi, siku ya pili kaja na nani sijui kukatokea yaleyale ya siku iliyoangulia siku ya tatu hayo hayo!

Ina maana walishindwa kuwauliza hao wanawake kinachoendelea? Lazima waisaidie polisi hawa!
 
yaani baba zima lizandiki,kuna mwanafunzi ana miaka 30 na shule yenyewe kamaliza 99 punguzeni chuku hadhi zenu zinashuka!!!
 
Poleni wana familia. Ila naomba pawe na utaratibu wa kuonyesha vyeti vya ndoa ktk magest haya. Ili kupunguza wateja wa chap-chap[short-time] ambao ndo wateja wengi ktk madanguro yanayoitwa gest.
 
Poleni sana,imenitia machungu sana kwani sisi tunaoishi mabibo hostel tulikuwa tunawaona kama watoto wenye maadili, lakini sasa hivi maadili yao ni zero!. Katika hilo wazazi inatakiwa wajifunze.
 
Can anyone tell what is the exactly cause of the death?

and may be why the other two girls dindt feel like staying with the man?
 
there might be many causes hata madawa,au uume mkubwa au jamaa anaweza kua mshirikina man mambo yanaweza kua mengi sana

..Can anyone tell what is the exactly cause of the death?

and may be why the other two girls dindt feel like staying with the man?
 
there might be many causes hata madawa,au uume mkubwa au jamaa anaweza kua mshirikina man mambo yanaweza kua mengi sana

Kwa vyovyote vile hili swala ni la kufuatiwa hata kwa ajili ya records tu!! So strange.

Kibaya ni alivyokuwa anaingia na kutoka hapo guest..and nobody has been taken responsible for that!
 
Lakini usalama ni suala la msingi bila ya kuangalia mtu amefariki kwa namna gani? Hivi hawa wenye Guest wanashindwa hata kuweka CCTV? Matukio makubwa saana yanatokeo kwenye Guest lakini bado hatua hazichukuliwi.

Mbona CCTV ni gharama kidogo saana? Pia wenye Guest wanaweza kusaidia polisi hivi mtu analeta wanaweka na inatokea vurugu bado tu mwenye Guest anaendelea kumkubali?

Anh hizi Guest jamani, zinaota kama uyoga na huduma nyingi ni kwa wageni wanaotoka Dar na wanakwenda Dar (Mf DAR).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom