Binti afia gesti,Kinondoni!!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Binti mmoja leo jioni amekutwa amefariki ndani ya moja ya vyumba vya gesti moja iitwayo Mkomboni maeneo ya kinondoni mkwajuni, tukio hilo lilitokea baada ya wahudumu wa gesti hiyo kuona mwanaume ambaye aliingia na huyo binti anachelewa kurudi.

Toka aliposema anaenda kumchukulia chakula mpenzi wake, ndipo walipokutana na maiti hiyo ikiwa imelala kitandani,na mkoba wake ukiwa hauna kitu zaidi ya kitambulisho cha chuo, sikufanikiwa kujua ni wa chuo gani wala jina lake marehemu, maiti imechukuliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.
23022011017[1].jpg
 
Goosh...alikosea nini binti huyu?...
Angejua anaenda kufa Asingeisogelea nyumba hiyo ya kifo!
RIP!
 
RIP

But ningependa kuwaasa kizazi cha sasa (wale ambao bado mnatongozwa) Si kila mtongozaji anania njema na wewe.........wengine vibaka, wengine washirikina wametumwa nyweke ya mwanamke ili wapate utajiri, wengine maserial kilaz so be careful
 
Possibly,kwasababu wahudumu wanadai before that walisikia kelele kisha zikatulia,na mdomoni kuna blood strains!!
Dah!Kama ndo hivyo inabidi wadada wawe waangalifu na watu wanaokubali kwenda nao sehemu kama hizo!

Hopefully ataadhibiwa ipasavyo kama amefanya hivyo!
 
Dah!Kama ndo hivyo inabidi wadada wawe waangalifu na watu wanaokubali kwenda nao sehemu kama hizo!Hopefully ataadhibiwa ipasavyo kama amefanya hivyo!
lakini jamaa hakurudi tena na wala hajulikani alipo,yaani bado hajapatikana!!
 
lakini jamaa hakurudi tena na wala hajulikani alipo,yaani bado hajapatikana!!

Kama ni mtu aliyekua anatoka nae muda kutakua na rafiki yake hata mmoja anaejua habari zake huyo mwanaume!

Pia siku hizi namba si zinasajiliwa, watafute namba yake alafu watake historia ya msg na simu zilizopigwa na kuingia..watamkamata tu wakiamua!
 
Mmh! Atongozaye sio lazima atake nanihii, pengine anataka roho yako na tena jmaa wanakuwa wazuri sana kubembeleza utadhani kweli hajala tangu azaliwe.
 
Usione watu wanaendesha VX wengine ni through that means, take care, waganga wa kienyeji ndani ya kazi.
 
Hatua za kufanya

1) Kwanza achunguzwe kama ana jeraha lolote mwilini
2) Pili apimwe alitumia chakula/kinywaji gani mara ya mwisho
3) Kitambuliwe chochote alichoacha mwanaume kabla ya kuondoka (vitumike kumtambua mwanaume na kwanini alidanganya kwamba anaenda kununua chakula)
4) Kitambulisho kitumike kujua anapokaa na anaposoma then kujua alikutana na nani mara ya mwisho mbali na mwanaume
 
Asante kwa mbinu hizi kinaweza kufanyika kitu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom