Binti afia gesti,Kinondoni!!!

Binti afia gesti,Kinondoni!!!

bongo vitambulisho vya raia tu vinatushinda yaani inasikitisha sana matukio kama haya ingekua rahisi sana kuyafuatilia
haya yote uliyosema yatanguliwe na uwepo wa vitambulisho vya raia. Maana vitambulisho vingi bongo ni magumashi. Hilo ni deni kwa serikali
 
Vipi wewe ulishapima?

PHP:
Mkomboni Bar & Guest House, iliyopo Mtaa wa Mkunguni Kata ya Hananasifu jijini Dar es Salaam.

Hii guest nimeenda kusavey nitaweka majibu baadae pamoja na picha
 
mwanangu kuna watu wana maumbile eti mpaka anaua c mchezo inabidi kupima kabla

Hiyo ndo dawa wanao semaga ooh jamaa mwenyewe ana kibamia basi unamuuzia deal mshikaji mwenye pipe kama ya punda
 
bwana embu tuwekee picha hapa jamvini man!!maana wana JF tusije kudondokea huko siku moja
PHP:
Mkomboni Bar & Guest House, iliyopo Mtaa wa Mkunguni Kata ya Hananasifu jijini Dar es Salaam.

Hii guest nimeenda kusavey nitaweka majibu baadae pamoja na picha
 
bwana embu tuwekee picha hapa jamvini man!!maana wana JF tusije kudondokea huko siku moja

Alafu mkuu mbona Avatar yako inatisha......inaleta picha kama vile unaweza kweli kudondokea huko na soho kama hiyo!!!
 
hiyo title ya mwanafunzi imevaliwa njuga ili kuuza stori.
hata hivyo nawatakia faraja ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu.
na kwa marehemu r.i.p.
 
tatizo maumbile dada ndio maana akakimbia
Waanze kuwakamata wahudumu kwanza kuna kitu nyuma ya pazia kaka aingize msichana atoke anakimbia, halafu siku nyingine analeta msichana wanamkubalia tuu mhh
 
Hiyo ndo dawa wanao semaga ooh jamaa mwenyewe ana kibamia basi unamuuzia deal mshikaji mwenye pipe kama ya punda

Fidel kibamia chako kinakura kweli ndo ukizoee ndo ulichonacho
 
duh!!!napita tu nitarudi baadae hilo gari mlilipaki wapi?porini au town maana magari mkishaanza tu linaanza kunesanesa

Iseee hi imenikumbusha nilipokuwa wa ex pale chuo kikuu car park; mlinzi akatutokea..du ilibidi niwapozee maana walitaka kutuaibisha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom