Sawa, but napenda ungenifahamisha changamoto zake na namna ya kuifanya.Just do it
Ni biashara nzuri kama una mtaji mzuri wa kuwekeza kisasa hususani kwenye miundombinu hasa Abbattoirs "Machinjio", magari ya usambazaji "Nyama tu" na rasilimali watu kama EHOs, Afisa mifugo na vifaa vya kuchinjia.Sawa, but napenda ungenifahamisha changamoto zake na namna ya kuifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Kuhusu faida yakeNi biashara nzuri kama una mtaji mzuri wa kuwekeza kisasa hususani kwenye miundombinu hasa Abbattoirs "Machinjio", magari ya usambazaji "Nyama tu" na rasilimali watu kama EHOs, Afisa mifugo na vifaa vya kuchinjia.
Dodoma kuna machinjio nzuri na za kisasa, unaweza kuzitembelea ukajifunza.
Bila kusahau watu wa TFDA, NEMC, Meat Board na Afisa Afya watakuwa karibu nawe kila wakijisikia.
Mkuu hapa unepewa mwanga tu, si unajua mfumo mfumo wetu wa machinjio dar ni maeneo maalum tu, hii yako itakuwa mpya.
Binafsi sijawahi kuona biashara ya nyama ikimtupa mtu. Labda ka wale wenzangu na mimi wanaonunua ng'ombe "cheap" wa wiziVipi Kuhusu faida yake
Sent using Jamii Forums mobile app