Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

Nani ana galagaja hapo vingunguti nahitaji mwenyeji tufanye biashara.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari zenu wana JF,

Ninaomba taarifa juu ya biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe na Mbuzi, inapaswa niwe na mtaji angalau kiasi gani cha level ya chini kabisa kama ndiyo nataka nianze, changamoto zake zipoje, faida zake vipi, na namna ya uendeshwaji wake upoje?

Poleni na majukumu na nitashukuru endapo nitasaidiwa kwa hili.

1626089029779.png
 
Habari waungwana!

Naomba msaada wa mawasiliano ya mtu anayefanya biashara ya ng'ombe au duka la nyama mbichi ya ng'ombe (bucha) Katoro sehemu yoyote ile. Kuna kitu nahitaji anisaidie hapa.

Hata kama sio wewe, nisaidie kuniunganisha na mtu unayemfahamu. Boksi langu la meseji linasubiri namba hiyo ya simu.

Asante sana!
 
Habari waungwana!

Naomba msaada wa mawasiliano ya mtu anayefanya biashara ya ng'ombe au duka la nyama mbichi ya ng'ombe (bucha) Katoro sehemu yoyote ile. Kuna kitu nahitaji anisaidie.

Hata kama sio wewe, nisaidie kuniunganisha na mtu unayemfahamu. Boksi langu la meseji linasubiri namba hiyo ya simu.

Asante sana!
Bhudagala umeacha kuimba nyimbo za asiri unataka uingie kuuza nyama?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mfano ng'ombe mnadani ni Tsh 400,000/=

Ng'ombe labda ana wastani 200kg

bei ya nyama buchani tsh6000 kwa 1kg

6000mara 200=Tsh 1,200,000/

Endapo utauza ngombe mmoja kwa siku faida ni laki 8.
Kilo 200 ngombe huyo si mkubwa sana hio 800,000 faida ni kubwa kuliko uhalisia aise
 
Back
Top Bottom