Mradi wa Kunenepesha Ng'ombe

Mfugaji123

Member
Apr 3, 2020
10
18
Biashara ya Kunenepesha mifugo ikiwemo ng'ombe, mbuzi na kondoo hufanyika kote duniani. Licha kwamba Tanzania tuna idadi kubwa ya mifugo bado hatufaidiki na mifugo hiyo.
Nyama ya Ng'ombe ya Tanzania ni hafifu sana na imekuwa ikikataliwa kwenye soko la kimataifa kutokana na kukosa ubora. Pamoja na kwamba ,hapa nchini hatuna ng'ombe wengi wa kisasa wa nyama, bado ng'ombe wa kienyeji (Zebu) wanaweza Kunenepeshwa na kuleta faida.

1:Nini concept ya Biashara za Kunenepesha ng'ombe??

Concept hapa ni kuwaconfine ng'ombe ili kutoruhusu kwenda umbali mrefu kisha kuwapa chakula na maji ili kuongezeka uzito. Ng'ombe wa Kunenepesha wanatajwa kuwa na nyama laini, tamu na pendwa kwa wateja
2: Ng'ombe gani hufaa Kunenepesha??
Japo madume na majke hufaa Kunenepesha, Madume hunenepa haraka kuliko majike. Mfano kwa kipindi cha miezi cha Kunenepesha, ng'ombe dume wa umri wa miaka 3-4 huweza kuongezeja kg 85-95

3: Je Ng'ombe wakati Kunenepesha hula chakula gani?
Ng'ombe chakula chake kikuu ni majani, hivyo ng'ombe wa kunenepesha wanapaswa kupewa majani ya kutosha pamoja na maji. Lakini ng'ombe hulishwa chakula cha concentrates chenye wingi wa vyakula vya protini, nishati, vitamins na madini. Chakula hiki cha nyongeza ni muhimu sana huchukuwa kiasi kikubwa cha gharama za chakula. Kwa siku ,ng'ombe moja hula kg 6-7 za concentrate

4: Je kuna Faida. Ndiyo kuna faida, kama unahitaji kujua mchanganuo wa gharama na faida za biashara hii, pata andiko la mradi wa ng'ombe 10 kwa TZS 50,000. Pia nitaweza kukuandalia andiko kulingana na ukubwa wa mradi wako. Wasiliana nasi kwa Whatsapp: 0621106923

Wasiliana nasi: 0621106923

cows-768x545.jpg
 
Attachments

  • cows-768x545.jpg
    cows-768x545.jpg
    112.4 KB · Views: 7

View attachment 2921295

Kila jema
 
Back
Top Bottom