Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Sehemu gani mkuu Kened

Mkuu
Ukiwa Unatokea Dar es salaam
Hapa Mwanzo Wa Manispaa Ya Morogoro Yaani Nyingi Sana Halafu Milonge Mingi
Fanya Bei Juu Ukija Hapa Deal Maana Wenyeji Wanasema Huwa Hapa Bei Ni Tsh 2000/-

Njoo Na Bei Juu
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu lakini hata kama nikiwafata bado nitakuwa juu kwa 500 ili mradi mzigo uwe mkubwa tu..KENEDY
 
huko chini sana Kenya tunauza Ksh 1500= tzs 30000....

KIMOMBO naomba niulizie hii dawa ROUNDUP nasikia inatengenezwa Nairobi naomba nisaidie nataka kujua bei za jumla au kama kwa hapa Dar ntapata wapi kwa bei za jumla.kariakoo Sokoni naona wananipa bei za juu sana ntashukuru kwa msaada wadau wote
 
Nashukuru wakuu kwa comment zenu zenye mwanya wa kuona mbali pia jamii forum kwamaana post ya jana tu leo nimepata tani mbili ila bado mbegu zinahitajika kwa wingi na asanteni.
 
Nashukuru wakuu kwa comment zenu zenye mwanya wa kuona mbali pia jamii forum kwamaana post ya jana tu leo nimepata tani mbili ila bado mbegu zinahitajika kwa wingi na asanteni.

mkuu kwani hizo mbegu ni za kazi gani?? au huwa zakutengenezea nini maana kuna sehem mm huwa kila nilipita nachuma naanza kuzitafuna baadavya hapo ni mwendo wakunywa maji huwa napenda sana kale kautamu kake pindi ninapokunywa maji??
 
Ni mali ghafi na ni dawa kubwa tafuta threat zipo hapa nyingi zielezeazo mbegu za mlonge .
 
Hizo mbegu za Mlonge zinatumika kufanya nini, naomba na mimi nijue fursa hiyo
 
Back
Top Bottom