Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Ukitaka kiasi chochote kile cha mbegu za mlonge wee nicheck bei elfu 15 hiyo elfu 5 natoa kukusafirishia kwahiyo unakuwa umenunua kwa elfu 10 mzigo wote lengo ni kusaidiana 0716590984
 
Je unahitaji mlonge ulioanikwa katika mazingira bora na yenye usalama wa ubora wa mlonge. Karibu kwetu ujipatie mlonge kwa bei ya jumla na rejareja.
 
Habarini wadau wa JF.Kama kichwa kinavyojieleza nina miliki miti ya mlo nge ambayo ipo tayari kwa kuvunwa huku wilayani Mbulu.Tupeane soko basi wadau au tuwasiliane kwa namba hii 0658999812.
 
Mi nataka unga wa mlonge kwa Bei ya Jumla, mnauzaje
 
Back
Top Bottom