Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Yaani kilo moja hadi kuipata lazima ufanye kazi haswa. Labda uwe na gunia moja kwa kweli ni kazi kubwa si rahisi hivyo
 
ninao mlonge mmoja home.... ila sasa hizo mbegu hadi nifikishe kilo moja, kazi kweli kweli
 
Ndugu wanajukwaa!

Kwa yeyote anayehitaji mazao yatokanayo na mti wa Mlonge, anaweza kunicheki PM. Nipo Kahama, bei ni mbegu za Mlonge 500gm kwa Tshs.2000/=, majani Mlonge yaliyosagwa 1kg Tshs5000/=.

Kwa wanaohitaji mzigo mwingi punguzo lipo!

Karibuni
 
Ndugu wanajukwaa kwanza napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya,kwa yeyote anayehitaji mbegu za mlonge ama majani ya mlonge yaliyosagwa ninauza kwa retail na wholesale.mbegu 500gm kwa tshs2000/: majani yaliyosagwa 1kg 5000/: kwa wanaohitaji mzigo mkubwa punguzo lipo.mi nipo kahama ninaweza kukutumia popote mteja ulipo kwa gharama zangu. karibuni sana
 
Ndugu wanajukwaa kwa yeyote anayehitaji mazao yatokanayo na mti wa mlonge,anaweza kunicheki PM.Nipo kahama,bei ni mbegu za mlonge500gm kwa Tshs.2000/: majani mlonge yaliyosagwa 1kg Tshs5000 kwa wanaohitaji mzigo mwingi punguzo lipo karibuni

Mimi nahitaji Sana hayo majani ya mlonge yaliyosagwa...nikipata hata kg10 zotanisaidia kwa kuanzia!lakin nipo morogoro nitapataje sasa??
 
habari nina hitaji mbegu za mlonge kilo 100 kutengeneza mafuta namba yangu 0787319921
 
Huyu jamaa naona kapotea ghafla wakati wahudumiwa ni wengi! Sasa kwa kuwa hapa sehemu nilipo miti ya milonge(mlozi) ni mingi sana na huu ndo muda haswaa wa kuokota punje zake!!
Naikamata hii fursa fasta fasta anaehitaji aje PM.
 
huo wa kusaga tupe umeandaaje? je unaweza kusupply kg ngapi kwa wiki?
 
huo wa kusaga tupe umeandaaje? je unaweza kusupply kg ngapi kwa wiki?

Natumia local method mkuu ie nachuma na kuhifadhi kwenye kivuli kisha ikikauka natwanga kwenye kinu kiusalama zaidi.
Kwa wiki minimum kg100 mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom