Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Mlonge ni nn? Zinapatikana kwa wing mikoa gan au mkoa upi? Je matumiz yake ni yapi?
 
Sasa mpaka upate kilo si mzigo huo, anyway nigakuchek kesho asubuhi ngoja nitoe nguna kwanza
 
Mimi Nina miti ya mlonge ya kutosha kama nusu ekari kama upo seriouz tufanye kaz
 
Nasikia harufu ya Utapeli hapa,huu wizi ni Kama ule wa madawa ya kilimo.
 
Huyu mjamaa kwa jina anaonekana ni mdosi tu, tena wale waliopiga bandarini ma contena...

Itaplewa mtoto wa kike wacha watu wafanye kazi au umeona hili jukwaa la watoto huwezi kuchangia nenda kamsaidie mama kuosha vyombo
 
Natafta mlonge kg kuanzia 50 na kg moja ni sh.5000
naitaji mbegu nyeusi kabsa ,hasiwepo mbegunyeupe na ziwe zimesafishawa hakuna uchafu
nanunua kg zozote ulizonazo kwa cash,
kuanzia kg 250 ni sh.5500/=
kuanzia kg 500 ni sh.5800/=
kuanzia kg 800 ni sh.6000/=
kuanzia ton 1.5 ni sh.6500/=
0654894210/0762073347/0682426975
 
Natafta mlonge kg kuanzia 50 na kg moja ni sh.5000
naitaji mbegu nyeusi kabsa ,hasiwepo mbegunyeupe na ziwe zimesafishawa hakuna uchafu
nanunua kg zozote ulizonazo kwa cash,
kuanzia kg 250 ni sh.5500/=
kuanzia kg 500 ni sh.5800/=
kuanzia kg 800 ni sh.6000/=
kuanzia ton 1.5 ni sh.6500/=
0654894210/0762073347/0682426975
 
mlonge wa mkoa gani au mkoa wowote na size ya mbegu kwako hautajali?
 
Mi sijawahi kuona mlonge wenye mbegu nyeusi!
Halafu hizo bei zako ni majanga... Kukusanya mbegu ya mlonge mpaka ienee kilo1 sio kazi nyepesi ndugu yangu. Atleast ungeweka quotation ya sh15000@kilo.
 
Mzee bei ipo chini hiyo yaani Ndogo. Mbegu za mlonge za kawaida tu mtaani zinauzwa kilo Sh.10,000/= bila mashart yoyote na Rangi mchanganyiko. Sasa unataka Rangi nyeusi tu halafu bei mbuzi. Panda dau watu wakuleteee mzigo
 
Mh!!! Hii ni fursa nyingine! Ni endelevu nirudi kijiji???
 
Back
Top Bottom