Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Natumia local method mkuu ie nachuma na kuhifadhi kwenye kivuli kisha ikikauka natwanga kwenye kinu kiusalama zaidi.
Kwa wiki minimum kg100 mkuu wangu.

Naomba unisaidie elimu kuhusu mlonge inatibu maladhi gani?
 
Nipeni elimu mlonge ndio nini?

Mlonge ni mti ambao kitaalam unauwezo wa kutibu na kuongeza kinga ya mwili kwako wewe binaadam na mifugo yako kiujumla.
Inasadikika punje zake ukizoea kutafuna basi we utakuwa ni kiboko kwa kutupia nyavu kwa mamayoyo!
 
Tupia kapicha ka huo mmea tafadhali!
 
Mlonge ni mti ambao kitaalam unauwezo wa kutibu na kuongeza kinga ya mwili kwako wewe binaadam na mifugo yako kiujumla.
Inasadikika punje zake ukizoea kutafuna basi we utakuwa ni kiboko kwa kutupia nyavu kwa mamayoyo!
Nashukuru sana kwa elimu nilihisi inaweza kuwa na uhusiano na hayo mambo maana watu wameiulizia sana yani...
 
Ndugu wanajukwaa!

Kwa yeyote anayehitaji mazao yatokanayo na mti wa Mlonge, anaweza kunicheki PM. Nipo Kahama, bei ni mbegu za Mlonge 500gm kwa Tshs.2000/=, majani Mlonge yaliyosagwa 1kg Tshs5000/=.

Kwa wanaohitaji mzigo mwingi punguzo lipo!

Karibuni

Nahitaji tani 10 za mbegu ya mlonge
 
Huyu jamaa naona kapotea ghafla wakati wahudumiwa ni wengi! Sasa kwa kuwa hapa sehemu nilipo miti ya milonge(mlozi) ni mingi sana na huu ndo muda haswaa wa kuokota punje zake!!
Naikamata hii fursa fasta fasta anaehitaji aje PM.

Nahitaji tani 10 za mbegu ya mlonge
 
Ndugu wanajukwaa!

Kwa yeyote anayehitaji mazao yatokanayo na mti wa Mlonge, anaweza kunicheki PM. Nipo Kahama, bei ni mbegu za Mlonge 500gm kwa Tshs.2000/=, majani Mlonge yaliyosagwa 1kg Tshs5000/=.

Kwa wanaohitaji mzigo mwingi punguzo lipo!

Karibuni
Habari, mimi nahitaji mbegu za mlonge kwa ajili ya matumizi binafsi, nipo dar es salaam
 
Wakuu, wana jf.
Mimi niko mkoani Dodoma lakini pia wakati mwingine huwa ninakuwa Dar.
Huku nilipo nina stock ya kutosha ya mbegu za mlonge.
Nilishakamua mafuta na kuwauzia mafuta watu kadhaa wa dar na morogoro lakini biashara haikuwa endelevu kwa sababu za hapa na pale.
Sasa nimeamua kuileta kwenu biashara hii ili niweze kupata mbinu, mikakati na soko la mafuta hayo. Tafadhali naomba maoni na ushauri toka kwenu.
Karibuni.
Mimi nipo dar nataka mbegu za mlonge kwa ajili ya kutafuna mwenyewe nazipataje?
 
Kama una stock ya Moringa seed au kwa kiswahili Mlonge

Nipe bei hapa au PM nahitaji 500Kg kupanda

seedimage.png
 
Ndugu wanajukwaa!

Kwa yeyote anayehitaji mazao yatokanayo na mti wa Mlonge, anaweza kunicheki PM. Nipo Kahama, bei ni mbegu za Mlonge 500gm kwa Tshs.2000/=, majani Mlonge yaliyosagwa 1kg Tshs5000/=.

Kwa wanaohitaji mzigo mwingi punguzo lipo!

Karibuni
weka namba ya simu
 
Back
Top Bottom