Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Ndugu wanajukwaa!

Kwa yeyote anayehitaji mazao yatokanayo na mti wa Mlonge, anaweza kunicheki PM. Nipo Kahama, bei ni mbegu za Mlonge 500gm kwa Tshs.2000/=, majani Mlonge yaliyosagwa 1kg Tshs5000/=.

Kwa wanaohitaji mzigo mwingi punguzo lipo!

Karibuni

Weka namba za simu.
0769874386
0716149003
Nataka mbegu za mlonge.
 
1370342591.jpg
moringa-bottle.gif

KAMA kuna mti wenye faida nyingi za kiafya, basi Mlonge unaweza kuwa unaongoza. Kila eneo la mti huu, kuanzia majani, maua, mbegu, magamba hadi mizizi yake ina virutubisho vya kipekee vyenye faida nyingi za kiafya kwa binadamu.
Majani ya Mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Unga wake unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika moja lijulikanalo kama Trees For Life, majani ya Mlonge yana Vitamin A nyingi kuliko karoti, vitamin C nyingi kuliko machungwa na madini ya Potassium nyingi kuliko ndizi mbivu, halikadhalika ubora wa protini yake ni bora kushinda maziwa na mayai.
Kutokana na kuwa na kiasi kingi cha madini ya chuma (Iron), kasiamu (Calcium) na vitamin nyingi za aina mbalimbali, majani ya mmea huu yamekuwa yakitumika kama ‘tonic' kwa watoto wadogo na vijana ili kuimarisha mifupa na kusafisha mfumo wa damu mwilini.
Ili kutengeneza ‘tonic', saga majani mabichi ya Mlonge pamoja na maji, yachuje kisha changanya na maziwa halisi. Inaelezwa kuwa juisi ya aina hii ni dawa nzuri kwa waja wazito, kwani huboresha njia ya uzazi na kumuwezesha mama kuzaa bila matatizo na kuondoa matatizo baada ya kujifungua.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, mti wa Mlonge unatibu karibu magonjwa 300 ya aina mbalimbali, yakiwemo yale magonjwa sugu, baadhi yake ni kama haya yafuatayo:
Mlonge unaweza kutibu Pumu, Kikohozi na Kifua Kikuu. Aidha, magonjwa mengine kama Kisukari, Shinikizo la damu (la juu na chini), magonjwa ya ngozi, magonjwa ya kwenye njia ya mkojo (UTI) kuongeza kinga ya mwili (CD4) na kuongeza nguvu za kiume.

http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/maajabu-ya-mti-wa-mlonge-drumstick

Nipeni elimu mlonge ndio nini?
 
10066-Moringa-oleifera.jpg

KAMA kuna mti wenye faida nyingi za kiafya, basi Mlonge unaweza kuwa unaongoza. Kila eneo la mti huu, kuanzia majani, maua, mbegu, magamba hadi mizizi yake ina virutubisho vya kipekee vyenye faida nyingi za kiafya kwa binadamu.
Majani ya Mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Unga wake unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika moja lijulikanalo kama Trees For Life, majani ya Mlonge yana Vitamin A nyingi kuliko karoti, vitamin C nyingi kuliko machungwa na madini ya Potassium nyingi kuliko ndizi mbivu, halikadhalika ubora wa protini yake ni bora kushinda maziwa na mayai.
Kutokana na kuwa na kiasi kingi cha madini ya chuma (Iron), kasiamu (Calcium) na vitamin nyingi za aina mbalimbali, majani ya mmea huu yamekuwa yakitumika kama ‘tonic’ kwa watoto wadogo na vijana ili kuimarisha mifupa na kusafisha mfumo wa damu mwilini.
Ili kutengeneza ‘tonic’, saga majani mabichi ya Mlonge pamoja na maji, yachuje kisha changanya na maziwa halisi. Inaelezwa kuwa juisi ya aina hii ni dawa nzuri kwa waja wazito, kwani huboresha njia ya uzazi na kumuwezesha mama kuzaa bila matatizo na kuondoa matatizo baada ya kujifungua.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, mti wa Mlonge unatibu karibu magonjwa 300 ya aina mbalimbali, yakiwemo yale magonjwa sugu, baadhi yake ni kama haya yafuatayo:
Mlonge unaweza kutibu Pumu, Kikohozi na Kifua Kikuu. Aidha, magonjwa mengine kama Kisukari, Shinikizo la damu (la juu na chini), magonjwa ya ngozi, magonjwa ya kwenye njia ya mkojo (UTI) kuongeza kinga ya mwili (CD4) na kuongeza nguvu za kiume.

http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/maajabu-ya-mti-wa-mlonge-drumstick

Kaka unao mlonge?
0716149003
 
Habari za uzima wajasiriamali wenzangu, nauza Mbegu za mlonge namajani yake, kwasasa sina majani makavu, kama utahitaji majani makavu naweza nikakutayarishia kwa spesho oda.kama unahitaji nipm
 
mbeg unakiasi gani?mimi nataka kg 10000
nalipa cash
kiasi chochote ulicho nacho nanunua chote ,
call 0682426975/0654894210
NB . NAZIITAJI HARAKA SANA SANA
NIPO DAR KINONDoNI B NDO OFFICE ZA COMPANY ZIPO
 
Naitaji mbegu za mlonge kg 10000
unaweza niuzia kila siku kg 200
nalipa cash on spot
office za company yangu zipo kinondoni b
call 0682426975/0654894210
nb.naziitaji haraka sana sana
 
Nanunua majani nakavu ya mlonge 30kg=150,000/=Mbegu Na magome yake tutaelewana bei.Nipo Kilimanjaro Sanya juu.Nicheki kwa 0716803922!!
 
duh mi nina mti hapa nyumbani miaka nenda rudi unazaa mpaka zinanyauka sijui nizifanyeje ila kama ndo hivyo nielekezeni ili nami niweze kuvuna ili hatimae kama mtazihitaji tutawasiliana, kikubwa ambacho ningependa kujua ni kuwa kwa wakati gani zinavunwa? unatambuaje kama zipo tayari? mimi nipo Dar
 
Back
Top Bottom