Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270 kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,323
8,236
Bei ya makaa ya mawe duniani imefika USD 270USD kutoka USD 50 kwa tani sababu ya vita vya Ukraine na Urusi, ulaya wanahitaji nishati.

Tanzania ina akiba ya tani Millioni 290 ardhini, kwa hesabu zaharakaharaka hiyo ni Trillioni 184.

Vituo vya afya na lami kila kona;

VIONGOZI WANGU TUCHANGAMKIENI FURSA.
 
Back
Top Bottom