Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,833
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?
Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.
Hii itatufanya hata taarifa nyingine wanazo toa tusiziamini tukachukulia Kama ni propaganda tu.