Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuendesha ma bus ya BRT imewashinda mpaka imebidi waombe usaidizi kutoka kwa kampuni ya Dubai (ENG), yani kitu ambacho kampuni private ya Kenya inaweza kufanya imeishinda serikali ya Tanzania. Alafu utarajie wanaweza kuendesha biashara ngumu kama ya Aviation. Bandari pia nayo imewashinda washaanza kuuza gati moja baada ya nyingine😃😃
IMG_20240328_192659.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom