Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,339
- 17,587
Huyu jamaa alichoongea kinafikirisha sana.Mtaalamu mmoja mzalendo alinisimulia kwamba mradi wote ukikamilika na kuzalisha 2100MW, TANESCO wana uhakika wa kukusanya 270Bilion kwa mwezi ambapo haya ni makadirio ya chini kabisa. Kwenye hiyo 270B gharama wanazolipia taasisi ya maji kwa mwezi hazifiki hata 10M. Ingelikuwa kiasi sawa cha Umeme kimezalishwa kwa kwa kutumia mitambo ya gas basi hapo zaidi ya robo ingeltumika kulipia gas.